Man Utd vs Chelsea ndani ya Old Trafford!!!!

Nahisi mabao yatakuwa sio chini ya 4, ni 2-2 ama ushindi wa 3-2 kwa ManU ama 2-3 atashinda Chelsea. Chelsea wako makini katika kudifendi ila set pieces zinawasumbua na Utd wako vulnerable katika difensi yao hasa kipa wao No1.
 
Shkamoo jazz aka Chelski hamna kitu siku hizi. ManU 8-Chelski 2
Dozi ya Arsenal kama kazi
 
Huyu mchina startimes kumbe haonyeshi bhana, mtupe updates wajameni
 
siwapi update tena.timu yangu imefungwa.hivi sasa naangalia zangu movie "THE LOCK" karibuni sana.mia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom