D 007
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 206
- 147
Kibongobongo hali ilivyo sasa, Manchester ni sawa na CHADEMA, hizi timu nyingine Man City, Chelsea, Arsenal na Liverpool kwa kibongobongo ni CCM, NCCR,CUF na TLP. Kwa hiyo mambo yaendavyo sasa Manchester United wanamuona Moyes kama katumwa na vilabu vingine kuitibua, kama ambavyo inavyoonekana kibongo CHADEMA wanamuona Zito katumwa kuwatibua, Yote upepo na yataisha ipo siku mtaimba Viva Chosen One Moyes