man u

man u

We ni mgeni enhe?karibu jukwaani!kama ni shabiki wa man utd nikupe training mwenyewe,kama arsenal nikukabidhi kwa balantanda kwa ajili ya mwongozo,kama man city nikupeleke kwa ndetichia,kama chelsea nikukabidhi kwa peasant au kama liverpool ukapikwe uvumilivu mpaka kifo kitakapokukuta na pazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom