englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
dakika ya 11 rooney anaandika bao la pili la kwanza kafunga chacharito
dakika ya 11 rooney anaandika bao la pili la kwanza kafunga chacharito
heheheee kaaz kwel kwel, Wale watoto HAZARD,MATA, OSCAR hatariiiiiiiiii,,,,,,,Watu wengine inaelekea hata chandimu hamjacheza dk ya 11 unaanzisha thread mnatisha!njoo ulete matokeo ya mwisho,mpira mlikua mnatafuta kwa tochi
rvp kwisha kazzzz.
vipi matokeo Man U na Chelsea?