siku hizi oldtraford hadi penati zinatoka! kweli ufisadi una mwisho! Arusha mabanda yanaanza kukosa watu kabisa!
siku hizi kaokoka! aliona makamari ya fergie yanampoteza njia! sasa ligi kuu ya england safi!.. Howard Webb!
Yanga tuombe mechi ya kirafiki ili tuoshe.