watashika nafasi km ya msimu uliopita...........
Bado umeshikilia hii statement ama umetengua kauli?kwa jinsi ninavyo ona man u hata top ten haitahusika maana tim imefanya usajili usio na mipango.
Tim ile ilikua na mapungufu ya ulinzi na midfield sasa wamesajili falcao na di maria kwa mihela mingi then hawana centrald defending midfilders" jambo linalofanya defnse yao iwe exposed,pia luke shaw yule ni wa kawaida sana sema the boy is overrated ule ni uchochoro dhahiri rahim sterling atakua anajipitia tu in short man u iki kaa vibaya wanashuka daraja
kwa jinsi ninavyo ona man u hata top ten haitahusika maana tim imefanya usajili usio na mipango.

narudia tena man u mbovu na top 4 haitakuwepo ikiwepo nauza x trail yangu