Haswaaa huyu nyanda kwa muonekano ana uwezo kabisa wa kuchukua nafasi ya De-Gea: mechi 2 magoli 9 tena kwenye uwanja wa Nyumbani!!!!!, De-Gea hafai kuwa kipa wa Man U kwa sasa.
Watani naona Old Traford imekuwa kapu la magoli 2011 View attachment 44391
Nadhani chanzo ni nyanda wenu, kwa kuwa dirisha dogo limefunguliwa mjaribuni HUYU