Man to Man

Nilishakuwa kwenye hii situation na niliteseka kweli kweli nilipungua kilo za kutosha ila nilipojifunza kuwa moto haukumbatiwi..Now nipo single na naishi kwa raha sana..Kujipenda na kuwa Top notch in your own kingdom ndo jambo la msingi.
 
Hongera sana mkuu, vipindi flani kwenye maisha vina tuimalisha na kutufanya tuwe bora
Nilishakuwa kwenye hii situation na niliteseka kweli kweli nilipungua kilo za kutosha ila nilipojifunza kuwa moto haukumbatiwi..Now nipo single na naishi kwa raha sana..Kujipenda na kuwa Top notch in your own kingdom ndo jambo la msingi.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…