Man sues wife over make-up

huko ni india huku bongo mtu anapekua mpaka ukurasa wa mwisho ndio anunue kitabu
 
Ndo maana watu wanashake before use
 
Hahahaha ndio mana mnaambiwa msichague wachuchu sikukuu 😜😜😜 wote huwa wanaoga
 
ila wanawake wanamna hii wakipelekwa Veta wakafundishwa Uashi hasa jinsi ya kupiga "plasta"watakuwa mafundi wa zuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…