Man marries four women at the same time

Man marries four women at the same time

Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2007
Posts
461
Reaction score
4
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=exSi1dV67-s[/ame]

A South African man married four women at the same time during a ceremony attended by hundreds of people.

Milton Mbhele turned up in a white limousine and gave each of his four brides rings and a kiss.

South African law recognises traditional polygamous marriages. Even President Jacob Zuma has three wives.

Yet, while polygamy remains common among several tribes including the Zulus, simutaneous weddings are rare.

44-year-old Mbhele said the joint celebration would save money by combining the festivities.

HONGERA MWANAMME. YOU'RE SO STRONG
 
Dah, pamoja na magonjwa yote hata jamaa bado ana courage ya kuoa wake wote hao...!! mbali na gharama za kuhudumia familia, Olea majamaa tu mzee.
 
Hivi wakristo wanaruhusiwa kuoa wake wanne?
 
Hivi wakristo wanaruhusiwa kuoa wake wanne?

Nadhani huyu jamaa ni Mzulu na wazulu kuoa mke zaidi ya mmoja ni RUKHSA na pia inaelekea taratibu zao za kikabila zinapewa priority kubwa kuliko zile za kidini.
 
haha hahha kweli huyo ni mwanaume wa shoka

Hana wasiwasi jamaa watamsaidi tu kulea hata kama yupo nondo vp itakuwa ngumu kuwamega wote daily kama wakihitaji.
Ila hii nitamu sana hata mi nitajaribu kumuunga mkono,nimemuonea vivu maana madu wote ni wakali ile mbaya!
 
Dah, pamoja na magonjwa yote hata jamaa bado ana courage ya kuoa wake wote hao...!! mbali na gharama za kuhudumia familia, Olea majamaa tu mzee.
sijakupata mkuu...kuwa na wake wa 4 na magonjwa kuna connection yoyote?na unapozungumzia magonjwa you mean malaria,flu au?
 
A South African man married four women at the same time during a ceremony attended by hundreds of people.
821067402-man-marries-four-women-time.jpg
Man marries four women at the same time.

Milton Mbhele turned up in a white limousine and gave each of his four brides rings and a kiss.
South African law recognises traditional polygamous marriages. Even President Jacob Zuma has three wives.
Yet, while polygamy remains common among several tribes including the Zulus, simutaneous weddings are rare.
44-year-old Mbhele said the joint celebration would save money by combining the festivities.
 
Duh I can imagine atavokuwa mchumi huko ndani maana kasave hadi kwenye marriage ceremonies!
 
aaah hiyo dini ipi inayoruhusu ndoa hiyo??
Na imefungwa kwa mala moja hao wanawake kuna kitu wanakipata kwa huyo dume sio bure ,,

yaani mie mama bele nilivyokuwa na wivu namna hiyo nikajipange hapo napokea cheti cha ndoa
Mimi siwezi bwana i said no...
 
Na wanawake hao wana moyo mkuu!! Je na special wedding night ilikuwaje??? Au aliwaweka wote chumba kimoja??? Na haney moon ni vipi??

Halafu umri mkubwa na watoto bado akizaa watakuwa wadogo (akiwa 60 atakuwa na mtoto wa 15). Assme kama bado hana watoto? Mwishowe family responsibilities will bwe shouldered on the wives?? Kazi kweli kweli.
 
Hongera sana KIDUME kuwaweka ndani wanne umeonyesha njia na kupunguza maambukizi ya magonjwa. Kwani wanawake ni wengi mno huko south Afr lakini hata tanzania. sasa kama kila mtu ataoa mke mmoja wale wasiopata waume watakubali kabisa kuwekwa vimada. Na kimada anakuwa na wanaume zaidi ya mmoja na hivyo kueneza maradhwi.

Hongera sana Mwanaume na mabinti kulikubali ilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom