Man hunt for Lara 1 or charming lady

Man hunt for Lara 1 or charming lady

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,734
Nimepewa ultmatum na ndugu zangu nitafute mke. Kwa vile shughuli za kiofisi zinanikeep locked nimeona njia rahisi by hooks and crooks ni kumnasa Lara 1 au Charming lady. Maisha ya sasa hayahitaji mtoto 'decent', Mnaweza lala njaa! Angalau mtoto awe mcharuko flan a.k.a mchakarikaji.

Sio unaoa mwanamke ambaye hata hawezi kuingiza namba za luku kwenye mita mpaka wewe uje uweke alafu unasema umepata mke mwema! Sasa wadau atakayefanikisha zoezi la kumnasa 'kibibi' mmoja wapo (coz I believe they are above 30), atapata zawadi nono! Mimi nadhani nikimnasa kibibi hakuna ubaya, hapo mamiss wote hawataniona mbaya.
 
Mbona hujiulizi kama wao watakupenda? Regardless una pesa au huna.
 
Hii shughuli unayoivamia inabidi ujipange
 
Mbona hujiulizi kama wao watakupenda? Regardless una pesa au huna.
Mwanamke ni sawa na mpiga kura tu! Anao uwezo wa kumkubali mpiga sera yeyote na kumpa moyo wake irespective ya appearance yake. Ingekuwa hivyo kuna wagombea wengine wasingepata uongozi. Mfano Mgabe au Waseera!
Kwa hiyo naamini sera yangu ya kuchukua mzigo wa jumla jumla ndiyo itakayoniingiza 'Ikulu'....
 
Nimepewa ultmatum na ndugu zangu nitafute mke... Kwa vile shughuli za kiofisi zinanikeep locked nimeona njia rahisi by hooks and crooks ni kumnasa Lara 1 au Charming lady. Maisha ya sasa hayahitaji mtoto 'decent', Mnaweza lala njaa! Angalau mtoto awe mcharuko flan a.k.a mchakarikaji. Sio unaoa mwanamke ambaye hata hawezi kuingiza namba za luku kwenye mita mpaka wewe uje uweke alafu unasema umepata mke mwema!
Sasa wadau atakayefanikisha zoezi la kumnasa 'kibibi' mmoja wapo (coz I believe they are above 30), atapata zawadi nono! Me nadhani nikimnasa kibibi hakuna ubaya, hapo mamiss wote hawataniona mbaya!

Mcharuko sasa hivi na ukimuoa una uhakika gani hataendeleza mcharuko wake?

Tabia haiachi asili...be careful dude!
 
kumwambia mtoto wa mwanamke mwenzio kuwa kasomea ujinga na anatia kinyaa sio ukorofi huo?

Sasa wewe huoni kinyaa kubadilisha jina la mtu na liko wazi kabisa na kukosea kama huko kama hajasomea ujinga basi upo ndani ya genes zake.
 
Hebu niambie kwanza hiyo zawadi nono ni ipi? Nianze mkakati wa kukunasia lara 1 fasta
 
Last edited by a moderator:
Bichwa hilo mwenyewe.... Sijui umekula maharage ya wapi...
Acheni kutuchosha na huyo Lara 1....
Unaweza ukakuta kidemu chenyewe kibichwa ndimu mnakishobokea au ndio genye mshindo hizo...
Drama queen hana lolote hii ndio sehemu pekee ambayo ana uwezo wa kudanganya ulimwengu..mitandao ya kujamiiana.
 
lara 1 na charming wamekua bidhaa hadi kuwatangazia dau? hao uliokua nao kabla uliwatangazia dau? kuna uwalakini fulani. unaomba msaada wa kutongozewa maana ungekua na ubavu ungewatafuta private
 
Mmmmmmmmh! Interesting! I might (MIGHT IS NOT EQUAL TO NOT) not be 30, but my mind can qualify a 40 years old! But since i dont enjoy di.ck competition how about i let charming lady have you. She can consider it a PRO BONO WIN!

hahaha nilijua tu ameshaharibu kuwaita vibibi unamtongoza mtu huku unamkandia kimtimdo sijaonaga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom