Man hunt for Lara 1 or charming lady

Man hunt for Lara 1 or charming lady

Bichwa hilo mwenyewe.... Sijui umekula maharage ya wapi...
Acheni kutuchosha na huyo Lara 1....
Unaweza ukakuta kidemu chenyewe kibichwa ndimu mnakishobokea au ndio genye mshindo hizo...
Drama queen hana lolote hii ndio sehemu pekee ambayo ana uwezo wa kudanganya ulimwengu..mitandao ya kujamiiana.

Were naona UNANITAKA SIO BUREE! Mtizame kwanzaaa! We si uliniita chizi wewe mbona mdomoni kwako sikukauki. Huli hunyi kiss Lara 1! Naona chizi mie nakupa pressure sana. Ulifosiwa kuingia Uzi huu? Mxiuuuuuuuuu! Mazafantaaaaa mkubwa. LEAVE MY NAME OUT OF YOUR FILTHY MOUTH IDIOTA.
 
Haaaa Lara 1 wewe si embe lililoiva watu wanataka kukupopoa wakufyonze, we maarufu bibie humu MMU nitaacha vipi kukutaja maana tokea juzi naona thread kibao watu Lara Lara Lara Lara
Hizo drama zako naona kuna viboro dinda wanazipigia nyeto kutwa Mara tatu
Weka picha tuone isije ikawa watu wanaanguka kumbe bibi uchu ..#merlin
 
Mxiuuuuuuuuuuuuu! KINACHOKUWASHA SANA KITU GANIIIII? Ushaniita CHIZI wewe na wengese wenzio tarehe 9/4/2015, nimekubali mimi chizi, ndio, tena tahiraa kabisaa, lile linalotoa maudendeee mda wote. MNANIDAIII NA UCHIZI WANGU? Hamnidai hata kumi! Naona hunywi maji yakashuka bila kumtaja huyu chizi. Chizi anakujambisha eeeeh! Lione kwanza! Baba zaima ovyoooo!

Koma ukamae kunitaja taja wala kunimention Msengerema mkubwa wewe, kama unawashwa sema nikutafutie mtu akushugulikie.
 
Kumbe ndio maana watu wanakupenda Lara 1 we umkopeshi mtu unamchana live na bado viboro dinda wanakuchumbia humu humu...hongera Bibi uchu..
 
Unawakumbuka wale wengese wenzio 24na wewe wa 25 mlioniita chizi 9/4/2015 kwenye ule uzi wa yule mngese mwenzenu wa kike? Wale wale ndo uwapelekee ungese wako watakusaidia. Na watumie salamu waambi CHIZI MIE NIMEZIDIWA SANAA, NIMEKUWA CHRONIC, HATA MILEMBE WAMENIKATAAA, INDIA KWENYE WAMEGOMA KUNIPOKEA, KAMA NI UCHIZI WA KUROGEZEWA NIMEROGWA TENA MARA YA PILI JUU YA ULE UCHIZI WA MARA YA KWANZA! Yaani sahivi uchizi umechanganyikana na utahira humo huo ndani ongeza bangi mbichi. Nina wajua wote 25 kwa ID hata nikiwa nimelala na yeyote atakeingia kwenye anga zangu namtandika virungu tu! Yaaani asije shoboka mtu lara 1 nyoko nyoko ndo ataponitambua. HABARI NDO HIYO. SITAKI KABISAAA UNAFIKI. Na wangese wanaojitia kuniomba mshamaha PM waambie WANIKOME! Hapa ni vita mwanzo mwisho ndo washanyea kambi ya Lara 1 ata watup pm 500,000 we will neve be cool, never ever to infinity and beyond!:boxing:

wasalam

Chizi, Mental case, Taahira, Teja, ET AL1
 
Mmmmmmmmh! Interesting! I might (MIGHT IS NOT EQUAL TO NOT) not be 30, but my mind can qualify a 40 years old! But since i dont enjoy di.ck competition how about i let charming lady have you. She can consider it a PRO BONO WIN!

Accept it Lala1
 
Last edited by a moderator:
Jamvi lishakojolewa na Nyau harufu yake hapa hapakaliki!

Chuma ch reli na lara1 mtaja umizana aiseee
 
Last edited by a moderator:
wa kawaida tu sijui uyo lara1 na uyo charming lady maneno yao ndo yanawatisha mnapagawa, sio kila mtu anachoongea kinamaanisha uhalisia wake kwa 100%.....utakuta km uyo sijui lara 1 mpole vibaya ukikutana nae.
 
Unawakumbuka wale wengese wenzio 24na wewe wa 25 mlioniita chizi 9/4/2015 kwenye ule uzi wa yule mngese mwenzenu wa kike? Wale wale ndo uwapelekee ungese wako watakusaidia. Na watumie salamu waambi CHIZI MIE NIMEZIDIWA SANAA, NIMEKUWA CHRONIC, HATA MILEMBE WAMENIKATAAA, INDIA KWENYE WAMEGOMA KUNIPOKEA, KAMA NI UCHIZI WA KUROGEZEWA NIMEROGWA TENA MARA YA PILI JUU YA ULE UCHIZI WA MARA YA KWANZA! Yaani sahivi uchizi umechanganyikana na utahira humo huo ndani ongeza bangi mbichi. Nina wajua wote 25 kwa ID hata nikiwa nimelala na yeyote atakeingia kwenye anga zangu namtandika virungu tu! Yaaani asije shoboka mtu lara 1 nyoko nyoko ndo ataponitambua. HABARI NDO HIYO. SITAKI KABISAAA UNAFIKI. Na wangese wanaojitia kuniomba mshamaha PM waambie WANIKOME! Hapa ni vita mwanzo mwisho ndo washanyea kambi ya Lara 1 ata watup pm 500,000 we will neve be cool, never ever to infinity and beyond!:boxing:

wasalam

Chizi, Mental case, Taahira, Teja, ET AL1

We itakuwa una undugu na Bi indu maana unavyofloo utafikili Bi.mkora
Na wewe Fanya party Basi ya #Lara_1_all_vibungozis_party maana Bibi uchu wewe una gubu balaa..
We kweli Wife marighafi ila kule kwetu kanda maalumu ukileta uchiriku tunakukamata na kukukeketa tu kwisha habari yako bibi uchu.
 
Unawakumbuka wale wengese wenzio 24na wewe wa 25 mlioniita chizi 9/4/2015 kwenye ule uzi wa yule mngese mwenzenu wa kike? Wale wale ndo uwapelekee ungese wako watakusaidia. Na watumie salamu waambi CHIZI MIE NIMEZIDIWA SANAA, NIMEKUWA CHRONIC, HATA MILEMBE WAMENIKATAAA, INDIA KWENYE WAMEGOMA KUNIPOKEA, KAMA NI UCHIZI WA KUROGEZEWA NIMEROGWA TENA MARA YA PILI JUU YA ULE UCHIZI WA MARA YA KWANZA! Yaani sahivi uchizi umechanganyikana na utahira humo huo ndani ongeza bangi mbichi. Nina wajua wote 25 kwa ID hata nikiwa nimelala na yeyote atakeingia kwenye anga zangu namtandika virungu tu! Yaaani asije shoboka mtu lara 1 nyoko nyoko ndo ataponitambua. HABARI NDO HIYO. SITAKI KABISAAA UNAFIKI. Na wangese wanaojitia kuniomba mshamaha PM waambie WANIKOME! Hapa ni vita mwanzo mwisho ndo washanyea kambi ya Lara 1 ata watup pm 500,000 we will neve be cool, never ever to infinity and beyond!:boxing:

wasalam

Chizi, Mental case, Taahira, Teja, ET AL1

achana nao. hawakusaidii kitu zaidi ya kukupotezea mda
 
Lara 1 you are very popular punguza hasira bibiye wengine tumekaa kimya kufuatilia threads zako bomba. Inakuaje usiyemfahamu unamkunjia ndita?
 
Wewe unatia kinyaa, jina lipo kwenye heading bado unakosea kuliandika.

Unajidhihirisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga.

Nimepewa ultmatum na ndugu zangu nitafute mke... Kwa vile shughuli za kiofisi zinanikeep locked nimeona njia rahisi by hooks and crooks ni kumnasa Lara 1 au Charming lady. Maisha ya sasa hayahitaji mtoto 'decent', Mnaweza lala njaa! Angalau mtoto awe mcharuko flan a.k.a mchakarikaji. Sio unaoa mwanamke ambaye hata hawezi kuingiza namba za luku kwenye mita mpaka wewe uje uweke alafu unasema umepata mke mwema!
Sasa wadau atakayefanikisha zoezi la kumnasa 'kibibi' mmoja wapo (coz I believe they are above 30), atapata zawadi nono! Me nadhani nikimnasa kibibi hakuna ubaya, hapo mamiss wote hawataniona mbaya!

Yupo hapo above 65- Pensioner F.Foxy
 
Kwa upeo wangu mdogo kuhusu Mahusiano nadhani NDOA ni ligi kuu, (PREMIER LEAGUE), uchumba ni kama LIGI DARAJA LA KWANZA na Uboy/girlfriend ni ligi za mchangani.
That means ukifanya vizuri kwenye ligi ya mchangani unapanda kwenda daraja la kwanza na ukifanya vizuri daraja la kwanza utaingia kwnye Ligi Kuu..
Kwa kuwa uboyfriend na ugirlfriend ni kama Mechi za mchangani basi hauhitataji umakini sana.
Ila kwenye ligi kuu (Ndoa) umakini unatakiwa sana.. Kwenye ligi daraja la kwanza pia umakini unatakiwa ili uweze kuvuka kwenda ligi kuu.
Kwnye ligi ya mchangani unaweza kucheza hata mechi kumi kwa week, tena viwanja tofauti na isiwe tatizo. Hakuna ufundi sana ila kinachotakiwa ni ujanjajanja tu na rafu za kutosha.
Lakini kwenye Ligi kuu hakuhitaji ujanjaujanja maana kila siku utakuwa unapigwa Red Card..!
Ligi kuu hupangi pangi tu kucheza mechi, inabidi usubiri ratiba ya TFF. Lakini huku mchangani unaamua tu leo nicheze au nisicheze. Unaweza kupanga kucheza na katimu kako ka CBE kakikuzingua unaenda Ustawi unapiga gemu kiroho safi.
Kabla hujaingiza timu yako ligi kuu, tuliza akili. Angalia kama timu yako ina uwezo au lah.
Ni bora uhakikishe umecheza mechi zote za mchangani kabla hujafuzu kwa daraja la kwanza na baadae ligi kuu. Usiruke step.
Ukijifanya kwenda ligi kuu kabla hujapita ligi ya mchangani huchukui round unashuka daraja kama Toto Africans na hautaweza kurudi tena Ligi kuu.
Kwa hiyo Cheza ligi ya mchangani kwa muda wa kutosha kisha Fanya juhudi uingie daraja la kwanza a.k.a uchumba halafu ndio upande ligi kuu (NDOA).. USIKURUPUKE.!
 
hahaha nilijua tu ameshaharibu kuwaita vibibi unamtongoza mtu huku unamkandia kimtimdo sijaonaga
Inawezekana. Unajua ukishakua na sabuni ya roho bwana halafu ukagundua kabinti kanaitaka hiyo soap kwa udi na uvumba, hata ukikatusi kanakubali tu bora liende. charminglady mpaka sasa hajatia pua yake hapa!:becky:

We nae lara 1 tulia upendwe bhana. hahahaaa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom