Nmecheka sana
Watu mnaona mbali sana.Tar 14 atapoteza
Wewe ni mchawi mweusi.Hello wakuu kwema kwanza nikiri kuwa hawa jamaa Man city kwa sasa wapo vizuri ila kwa uzoefu wangu kama mchambuzi nawaona wakianza kuangusha point very soon hazitapita mechi 3 bila wao kupotea either kwa kufungwa au kudraw mark my words
Kati ya liverpool au crystal kuna mmoja atamuua .........ila naiamini sana ctystal katika hilo
utakuwa na ndumba wewe.mkuu upo??Na nani?
Hivi umesahau jamaa alivyowatesa Dortmund,Real Madrid, Atletico n.k?!!