Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
- Thread starter
-
- #161
mkuu leo nadhani united 2 city 1,nitakuwepo hadi dakika ya mwisho!!!
hivi kweli kutangulia si kufika!!!!
aaah!!mkuu mimi mwenyewe sijui maana nilitegemea kutengeneza jina kupitia hii mechi sasa naona kama nataka kuharibu jina!!!Kaka ofisi zako za unajimu ziko wapi?
mkuu kweli mtoto halali na hela!!Pole sana mkuu mechi bado.
mkuu kweli mtoto halali na hela!!
Man City 2-3 Man Utd
ila nadhani ratio ni ile ile ya tofauti ya goli 1Kaka ofisi zako za unajimu ziko wapi?