kihistoria hao walikua mstajiri wakubwa ktk meambao wa tanganyika nawengi wao ndo waliopambana na wajerumani eg abushiri bin salim na bwana Kheri.
Acha uongo,Abushir Bin Salim hakuwa na asili ya huku pwani yetu,alikuja kibiashara ni Mu Oman.Na matajiri wote waliokuja walikuwa ni watu wa biashara tu na sio wenyeji .
Na ndio maana walirudi makwao wakatuachia wabishi,kizazi kilitokea baada ya kujipendekeza Mama zetu na kuchapwa mimba.
Mfano ni Jengo la Maruhubi Palace ambalo lilijengwa na Sultan Barghash,pale ilikuwa ameweka wanawake zaidi 90 ambao wote walikuwa wake,anazunguuka tu,na hao walikuwa wanazaa ambacho kizazi chake ni miongoni mwa vilivyobakia.
Na mfano mwingine ni Ukoo wa Bikhole,huyu yeye alikuwa ni shoga,na Jumba lake alikuwa na wanaume tuu,wakiarabu na kiswahili walioshiba,na ulikuwa ukitoa siri zake lazia akuuwa,alikuwa analiwa kiboga ile balaa,kwakuwa alikuwa na pesa.
Koo zote unazosema za Kitajiri zilirudi kwao Oman na kuacha shombo za Mchemsho.Na ndio maana hata majengo mengi ya mji mkongwe yanautata wa umiliki maana hakuna majina kamili ya wamiliki.Mjanja ni aliewahi wakati huo,na ndio maana unakuta unaambiwa hapa alikaa fulani hapa fulani lakini hakuna ndugu yake hata mmoja.
Zile koo za kifalme zilirudi kwao Oman,na ule ushombo wake ndio ukabakia na sie.Sasa cha kurithi huzidi,umwinyi kwetu umekuwa ugonjwa.