Mlenge
R I P
- Oct 31, 2006
- 2,125
- 2,315
Kozi ya Diploma in Geoinformatics (GFM 4) inatolewa Chuo Kikuu Ardhi (Ardhi University, ARU) kwa ushirikiano wa karibu na Chuo Kikuu cha Twente, kitivo cha ITC. Kozi hii hutolewa Uholanzi pia. Ili kusogeza huduma karibu, Waholanzi wameamua kushirikiana na Watanzania kutolea mafunzo hayo ARU.
Kusoma kozi ya Diploma in Geoinformatics ARU ni sawa tu na kusomea Uholanzi, ukiondoa kuwepo Uholanzi. Mamtoni Bongo.
Watu wa nchi za jirani ndio mara nyingi huwa wengi kwenye kozi hii ARU kuliko hata WaTz wenyewe. Nadhani hii hutokana na Watanzania wengi kutoelewa dhima ya kozi hii. Jioinfomatikia huhusika na masuala ya taarifa zihusuzo dunia, hususan ramani.
Wakati fulani, Ubalozi wa Uholanzi ulikuwa ukitoa skolashipu kusoma kozi hii ARU. Ada ya kozi hii inafikika kwa aliyedhamiria, hasa ukilinganisha ubora wa elimu inayotolewa, na ada ya baadhi ya shule za chekechea, msingi na sekondari, au kusomea Uholanzi kwenyewe.
Kozi haitaki wavivu: ni mchakamchaka wa miezi tisa ya kupata elimu ya ukweli. Ukishamaliza hapo, unakuwa umeiva kwelikweli.
Hivi karibuni kozi inatarajiwa kuanza tena hapa Dar. Kwa Afrika, kozi hii hutolewa pia kule Ghana.
Maombi ya kozi hii hufanywa moja kwa moja Chuo Kikuu Ardhi.
Kwa maelezo zaidi, angalia kipeperushi kilichoambatishwa.
EDIT: Added more attachments, and removed the spurious ones.
Ardhi University
ITC - Diploma Course in Geo-information Science & Earth Observation for Geoinformatics
GSSM Home