baby Lady doctor wewe ule ushibe,na maneno Bishanga waseme usijali wavimbe wapasuke,mimi nawe,waambie wote wajue,hatuna mchezo,mpaka ndoa ifungwenaomba uwende zako hunifai hata kwa munyu na nyumba nitaimalizia mwenyewe
sasa ngoja nikuoneshe kuwa warembo hawa namna ya kumrudisha kwa macho yako.Una akili sana wewe
baby Lady doctor wewe ule ushibe,na maneno Bishanga waseme usijali wavimbe wapasuke,mimi nawe,waambie wote wajue,hatuna mchezo,mpaka ndoa ifungwe
kwangu keko ndio hapaNa mkisha oana? Ndo muishi kwako keko magurumbasi choo passport size? Mtoto Lady doctor njoo mambo iko huku masaki kwa bilionea bishanga!
Yale yaleeeee ya kusubiria meli airport,utasubiri sana niachane na darling The secretary..... Mr Rocky wastara hazumbuki wa mbili havai moja.....wa kupata ni wa kupata tu,mi na mke wangu The secretary until death do us apart......habari ndo hiyo!
Copy waione Erickb52 na Arushaone...........keep distance from my wife au la andaeni kucha kunyofolewa....last warning meeeeen!
Sasa Bishanga kama unajiamini wewe ni kidume cha mbegu hiyo warning ni ya nini sasa
We jichanganye tuu uone kama hutaambulia kuhisi tuu harufu ya The secretary wakati kashakuacha kwenye mataa The secretary hebu kamu zis wei umuone Bishanga anavyoweweseka akisikia kuna vijana akina Arushaone na Erickb52 wanakatiza mtaani
Unajichanganya until death do you apart huku unatoa warning kaa mbali na wife hueleweki Bishanga kajipange upya
baby Lady doctor wewe ule ushibe,na maneno Bishanga waseme usijali wavimbe wapasuke,mimi nawe,waambie wote wajue,hatuna mchezo,mpaka ndoa ifungwe
na ndani kwangu keko ndio hv
Na mkisha oana? Ndo muishi kwako keko magurumbasi choo passport size? Mtoto Lady doctor njoo mambo iko huku masaki kwa bilionea bishanga!
hebu ngoja niongee na shost angu The secretary kama atakubali nikuchune.
Lady doctor, mzima wewe? Nimeweka kambi mtaa wa mabomu nitarudi huku soon. Endelea kuwajaza ujinga mpaka nije.
me mzima kabisa mpenz, angalia yasije yakakulipukia
Ile siku wanalipua hakika ni MUNGU tu kwani nilipotoa mguu ndipo lilipoanguakia na waliofariki nilikuwa nao awali. Napanga tu siku nikatoe sadaka.