kwenda hukooo..... Na ninaenda kumuambia Madame B kuwa nimekushindwa
The secretary tangia lini mke akashindana na mume?
Ooh gwe wange,embu sikia,wewe ndiwe wangu wa mileleee wa milelee,niliyekuchagua kati ya wale woteee,nakuimbia wajue bado nakupenda,ingawa wanasema eti hunifaii,mimi sijali naona wazushi eti wakisema wewe hunifai masikio nimeziiba onaaaa,watasema mwishoni watalala mimi sibadiliki yeyeeee ooohh Lady doctor nifanyeje uwe wanguu
Mmmmh ngonjera nyingine bana utazania mwigulu anambembeleza sugu arudi chichihem.
Kha 5 nini dola?
Ooh gwe wange,embu sikia,wewe ndiwe wangu wa mileleee wa milelee,niliyekuchagua kati ya wale woteee,nakuimbia wajue bado nakupenda,ingawa wanasema eti hunifaii,mimi sijali naona wazushi eti wakisema wewe hunifai masikio nimeziiba onaaaa,watasema mwishoni watalala mimi sibadiliki yeyeeee ooohh Lady doctor nifanyeje uwe wanguu
We kaa nyumbani,wanaume tupo kazini
nataka uimalizie ile nyumba ulioanza kunijengea
u can't be serious si nimekuachia shillingi mia na hamsini umeitumiaje?nyumbani hapakaliki hela hamna baba
nyumbani hapakaliki hela hamna baba
.....u can't be serious si nimekuachia shillingi mia na hamsini umeitumiaje?
Lady doctor hivi kwa Chimbuvu ulizania umefika,si mtunzaji huyo.
u can't be serious si nimekuachia shillingi mia na hamsini umeitumiaje?