Mamlaka zinatuficha kuhusu aliens kwa kuhofia tunaweza kuwa empowered na aliens tukazidi nguvu mamlaka

Kwamba hao Aliens wanatembelea anga la Marekani tu, na Marekani inaweza kudhibiti dunia nzima kuzuia hao UFO kuwa na direct contact na binadam inatoweza sababisha tusinunue silaha na madawa toka Marekani?

Unaweza ukawa na shauku ya kuelezea jambo unalopenda lakini usiwe na ufahamu sahihi na hivyo kuongea pasipo logic!


View: https://www.youtube.com/watch?v=Oz-oYFX-3cs&pp=ygUXamFwYW4gY2FyZ28gZmxpZ2h0IDE2Mjg%3D



View: https://www.youtube.com/watch?v=_10zDNP8cIM&pp=ygUXamFwYW4gY2FyZ28gZmxpZ2h0IDE2Mjg%3D
 
Tuachane na ya watu ngoja tujadili ya kwetu hii kitu ilionekana angani juzi ilikua ni kitu Gani?
1709103012776.jpg
 
Back
Top Bottom