Mamlaka zinatuficha kuhusu aliens kwa kuhofia tunaweza kuwa empowered na aliens tukazidi nguvu mamlaka

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Baada ya tukio la mwaka 1947 UFO kuanguka huko Roswell, Serekali ya US ilifanya kila namna kupotezea hii story hadi hapo mwaka 2008 fighter jets za Marekani zilipo shuhudia chombo chenye speed na momentum isio ya kawaida. Hii ilipelekea hapa recently Marekani kuja na ufafanuzi ni kweli walikiona hicho chombo angani lakini hadi sasa wao wana shindwa kujua ni chombo cha aina gani huku wakitupilia mbali claim ya aliens.

Mimi naamini kuna secret units maalum zilizoundwa na hizi superpowers ili kusimamia na kucontrol haya mambo ya UFOs na UAPs.

Na kazi yake kubwa ni ku-limit hawa aliens wasiwe na direct contacts na pia kupotezea ushahidi unaopatikana pale watu wanapo encounter hawa aliens.

Hawa jamaa wanaogopa kwa namna yoyote watu wakiwa na direct contact na hawa aliens wanaweza kupata upeo flani ambao utapelekea watu kuwazidi maarifa mamlaka kuu katika kila nyanja.

Wanaogopa hamtawalipa kodi, wanaogopa hamta ogopa silaha zao, wanaogopa hamtakubali mafundisho na misingi yao.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Ngoja waje
 
Kwamba hao Aliens wanatembelea anga la Marekani tu, na Marekani inaweza kudhibiti dunia nzima kuzuia hao UFO kuwa na direct contact na binadam inatoweza sababisha tusinunue silaha na madawa toka Marekani?

Unaweza ukawa na shauku ya kuelezea jambo unalopenda lakini usiwe na ufahamu sahihi na hivyo kuongea pasipo logic!
 
Sasa watembelea huko kwenu mwanisenga ili kuchunguza vinyesi vya wanakijiji vilivyotapakaa maporini?
Bora hao wazungu watadai wana vinu vya nguvu ya nyuklia vinatema radiation kutwa kuchwa kwenye ozone layer na pia wana satellite zinazunguka dunia kila sekendu...
 
Sawa. Kama hivyo vinu vipo Calfonia tu
 
Baada ya tukio la mwaka 1947 UFO kuanguka huko Roswell, Serekali ya US ilifanya kila namna kupotezea hii story hadi hapo mwaka 2008 fighter jets za Marekani zilipo shuhudia chombo chenye speed na momentum isio ya kawaida. Hii ilipelekea hapa recently Marekani kuja na ufafanuzi ni kweli walikiona hicho chombo angani lakini hadi sasa wao wana shindwa kujua ni chombo cha aina gani huku wakitupilia mbali claim ya aliens.

Mimi naamini kuna secret units maalum zilizoundwa na hizi superpowers ili kusimamia na kucontrol haya mambo ya UFOs na UAPs.

Na kazi yake kubwa ni ku-limit hawa aliens wasiwe na direct contacts na pia kupotezea ushahidi unaopatikana pale watu wanapo encounter hawa aliens.

Hawa jamaa wanaogopa kwa namna yoyote watu wakiwa na direct contact na hawa aliens wanaweza kupata upeo flani ambao utapelekea watu kuwazidi maarifa mamlaka kuu katika kila nyanja.

Wanaogopa hamtawalipa kodi, wanaogopa hamta ogopa silaha zao, wanaogopa hamtakubali mafundisho na misingi yao.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Hao Alliens wanaozuiliwa na serikali wasikutanw na binadamu basi ni viumbe Dhaifu
 
Back
Top Bottom