A
Anonymous
Guest
Barabara za Kigamboni hazina usimamizi wakati wa kufanya marekebisho. Ni kama vile hakuna usimamizi au mamlaka za TANROAD hazipo Kabisa Kigamboni.
Kipande cha kurekebisha wiki moja kinachukua miezi 6 hadi nane.
Mathalani ukipita Kigamboni maeneo ya Machava hadi Tanzanite kuna vipande vya barabara vimeanza kufanyiwa ukarabati kwa sasa inakwenda mwezi wa 6 havijakamilika. Ni vipande ambayo vingepaswa kukamilika ndani ya wiki mbili tu.
Serikali na mamlaka zipo wapi?