edifice
Member
- Jul 11, 2015
- 58
- 21
Habari wadau,
Kama ilivyo kawaida kwamba Rais anayo mamlaka kwa mujibu wa sheria ya kutengua uteuzi hasa kwa wenye nafasi za kuteuliwa yaani Presidential appointee pale inapotokea kwamba mtumishi husika ameshindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo. Je, inawezekana pia kutengua uteuzi wa Mbunge/Wabunge aliokwisha kuwateua?