Mamlaka ya maji-Arusha

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
Jamani,leo ni siku ya 5 baadhi ya maeneo ya Arusha hasa mianzini kuelekea idara hakuna maji safi na salama.Sijui tatizo ni nini na wahusika hajatoa taarifa.Naomba nijuzwe,shida nin nini maji hakuna,hali mbaya hasa kwa wale wenye families.
 
Huko kumejaa Chadema sana wao wana serve CCM pekee mkuu so hana maeneo hayo uende waliko CCM .
 
AUWASA ni janga la kitaifa wanachojua ni kudai fedha kupitia yule mbwabwaji mkuu wa CCM Rama.Utasikia tangazo tangazo mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Arusha inawatanagazia wiki ijayo kutakuwa na zoezi la ukataji wa maji tafadhali lipa bili yako kukwepa usumbufu ofisi zitakuwa wazi jmosi na j2.
 
Arusha Urban Water Supply and Sewerage Authority (AUWSA) Managing Director Asili A. Munisi

I am not tribal but the employee base there is 90 percent chaggas and the other 10 % are married to a Chagga.

Now how many Chaggas live in Mianzini?

The Kibosho ones don't count at AUWSA he he heee
 
Back
Top Bottom