tuwasamehe bure. Wanafanya kazi kama waganga wa jadi(wapiga ramli)
Mamlaka ya hali ya hewa nchini imetoa tahadhari ya uwezekano wa kutokea mvua kubwa mwanzoni mwa wiki ijayo katika mikoa inayopakana na bahari ya hindi. Kwa maelezo zaidi http://www.meteo.go.tz/store/warning.pdf au http://www.meteo.go.tz/store/tahadhari.pdf pia katika page zao Tanzania Meteorological Agency | Facebook na Tanzania Met Agency (tma_services) on Twitter
uone nini kwa mchumia tumbo hana lolote kauli yake inataka tumuamini yeye kulko wataalmu wa TMA.. That z foolishness.. Alichopaswa kusema kama mtumishi wa mungu ni kwamba nitaomba mungu asituletee mvua zitakazo sababsha dhahmahaya ngoja tuone
angalao sasa wamezinduka kutumia mitandao ya kijamii, maana walilala na kujenga chuki na waandishi waanzilishi wa uandishi wa habari za haki ya hewa. waache kujenga mitandao kwa jambo linalohusu maisha ya watuMamlaka ya hali ya hewa nchini imetoa tahadhari ya uwezekano wa kutokea mvua kubwa mwanzoni mwa wiki ijayo katika mikoa inayopakana na bahari ya hindi. Kwa maelezo zaidi http://www.meteo.go.tz/store/warning.pdf au http://www.meteo.go.tz/store/tahadhari.pdf pia katika page zao Tanzania Meteorological Agency | Facebook na www.twitter.com/tma_services
Mbona walisema mafuriko yangetokea mwezi wa Tisa?
Utabiri wa hali ya hewa ni kazi ya kisayansi hivyo TMA wanafanya kazi yao kisayansi. Utabiri unaanzia kwenye kukusanya taarifa za hali ya hewa (Pressure, Temperature (Maximum na Minimum), Humidity, Cloud Cover, Wind (Speed& Direction) n.k.mimi naomba tu kuuliza hawa tma wanafanya kazi kataalam au wanatabiri kama shekhe yahaya?
Tuone aliyosema Mzee wa Upako kwamba kama kutatokea mafuriko, basi yeye ataacha kuhubiri. Nani zaidi? TMA vs Mzee wa Upako.