Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) yatahadharisha ujio wa mvua kubwa kwa siku tano kwa mikoa ya pwani

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,115
Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) imetoa tahadhari ya matarajio ya hali mbaya ya hewa itakayoambatana na mvua kubwa kwa siku tano.

Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Pwani, Mtwara, Lindi pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba mvua hiyo huenda ikaathiri shughuli za uvuvi na usafirishaji.

 

Na huku Vifurushi navyo ni ghali kupelekea tu kuwa Idol, kule Tanesco nao najua watatukatia Umeme hivyo tutakuwa Vyumbani tukigongesha tu Mibesela kwa Wake zetu na Mimba zisizotarajiwa Kupatikana nyingi Kipindi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…