Mamlaka ya hali ya hewa, mwaka huu hii sio El Nino kweli?

Hizi mvua Mungu atusaidie, hapa tunaandika helicopter ya jeshi na ya police zinafanya shughuli za uokoaji wa wahanga wa mafuriko kilwa huko.... Hali ni tete mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mvua Kubwa
VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA MWANZA, SIMIYU, SHINYANGA, MARA, KAGERA, GEITA, TABORA, SINGIDA, DODOMA, KILIMANJARO, ARUSHA NA MANYARA.

Today
 
Kungekuwa na System ya kuhifadhi haya maji ya mvua ili kipindi cha jua kali tusianze kutafutana.

By the way, uku Zenjy jua kali ile mbaya
 
Bro tuliza Ball kabisa HIZO NI MVUA ZA HAPA NA PALE TUU.
 
Thanks Mr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi nimetoka Songea kupitia Masasi hadi Dar es salaam, mvua ni kubwa mno. jana nimefika Singida mvua ni nyingi. Kwakweli wanatakiwa watuweke wazi, nini kinaendelea?
Nimekumbuka lile swali maarufu la awamu hii “sijui nchi inaelekea wapi?”
 
Huko Ruangwa toka asubuh Leo watu hawajatoka nje Ni mvua tu mwanzo mwisho, Watu wanakufa kama kuku huko mpakani mwa Kilwa Na Ruangwa, pembezon mwa Mto Mbwemkuru Hali Tete..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…