Mamlaka ya hali ya hewa, mwaka huu hii sio El Nino kweli?

Hizi mvua Mungu atusaidie, hapa tunaandika helicopter ya jeshi na ya police zinafanya shughuli za uokoaji wa wahanga wa mafuriko kilwa huko.... Hali ni tete mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mvua Kubwa
VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA MWANZA, SIMIYU, SHINYANGA, MARA, KAGERA, GEITA, TABORA, SINGIDA, DODOMA, KILIMANJARO, ARUSHA NA MANYARA.

Today
 
1580386971432.png
 
Kungekuwa na System ya kuhifadhi haya maji ya mvua ili kipindi cha jua kali tusianze kutafutana.

By the way, uku Zenjy jua kali ile mbaya
 
Nina wasiwasi sana na mwaka huu wa 2019 - 2020 kwa jinsi hali ya hewa ilivyo. Nikikumbuka mvua za miaka ya 1998 na 2015 na hizi za 2020 zinalingana sana. Tofauti ni miaka ya 1998 na 2015 walitangaza rasmi kama ni mvua za El nino.

Kwa nini msimu mwaka huu hawajatangaza El nino. wakati kuna kila dalili za El nino? Nina wasiwasi sana. Isije kuwa ni ule mtindo wa mwenye kutangaza njaa hana kazi. Mficha maradhi kifo kitamuumbua.

Dodoma, Singida sasa mvua zinadumaza mazao. Dar es salaam hakutamaniki. Tanga, Pumbuli tunasikilizia. TMA kwa toka Nov 2019 mpaka leo inatahadharisha mvua kubwa zaidi ya mikoa 10.
Bro tuliza Ball kabisa HIZO NI MVUA ZA HAPA NA PALE TUU.
 
El Niño is a climate pattern that describes the unusual warming of surface waters in the eastern tropical Pacific Ocean. El Nino is the “warm phase” of a larger phenomenon called the El Nino-Southern Oscillation (ENSO). La Nina, the “cool phase” of ENSO, is a pattern that describes the unusual cooling of the region’s surface waters. El Niño and La Niña are considered the ocean part of ENSO, while the Southern Oscillation is its atmospheric changes.


El Niño events are actually just one half—the warm, wet half—of a naturally occurring weather cycle called the “El Niño-Southern Oscillation,” or ENSO.
Warm oceans lead to low pressure systems in the atmosphere above, which in turn leads to a lot of rainfall.

In Africa, East Africa—including Kenya, Tanzania, and the White Nile basin—experiences, in the long rains from March to May, wetter-than-normal conditions. Conditions are also drier than normal from December to February in south-central Africa, mainly in Zambia, Zimbabwe, Mozambique, and Botswana.
Thanks Mr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi nimetoka Songea kupitia Masasi hadi Dar es salaam, mvua ni kubwa mno. jana nimefika Singida mvua ni nyingi. Kwakweli wanatakiwa watuweke wazi, nini kinaendelea?
Nimekumbuka lile swali maarufu la awamu hii “sijui nchi inaelekea wapi?”
 
Huko Ruangwa toka asubuh Leo watu hawajatoka nje Ni mvua tu mwanzo mwisho, Watu wanakufa kama kuku huko mpakani mwa Kilwa Na Ruangwa, pembezon mwa Mto Mbwemkuru Hali Tete..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom