Jose mmali
Member
- Jan 13, 2014
- 17
- 2
binafsi naomba niweke wazi huyu jamaa mimi sio mpiga kura wake!
lakini kwa tetesi zilivyo ndani ya chama chake hakuna wa kumzuia na kibaya zaidi tumebaki wapinzani kuzungumzia huyu jamaa hafai ccm haifai lakini bado sijaona nani atasimama na huyu mtu ikiwa wadanganyika tushazoea kuuza utu wetu kwa fedha! hii ni hatari sana!
jamaa amejipanga na kunatetesi watu wa kaskazini haijalishi wanatoka chama gani ilimradi anatoka huko wengi wako tayari kummunga mkono
sasa sijui wana siasa wanatupeleka wapi wameamua kabisa kwa roho moja kupeleka gari letu mtaloni.
We ni mbumbumbu kichwan. possiblely hata drs la kwanza hujaingia.hizo buku7 za lumumba zina kusumbua
nitampa kura yangu.
So unataka mpaka uambiwe utafiti umefanywa na profesa au nani ndo uone kama ni utafiti. Being critical is not about running from new knowledge, it's about taking it, analysing it critically searching where you can apply it and finally applying it when there is a place for it or dumping it if there's no room for it.Tatizo kubwa ni kwamba watu wengi wanaokuja JF wanafikiri hili ni jukwaa la watu wajinga na wanafanya makosa makubwa sana. Asilimia kubwa ya watu wanaokuja hapa wanajua nini kinaendelea maana wengine ni watunga sera, wanasheria, watumishi wa ikulu n.k. Hakuna mtu anayeweza kukubali upuuzi kama huu.
"No research, no right to speak"
Mh lowasa anakubalika sana Tanzania nzima,mimi nipo chadema licha ya kwamba kuna viongozi wazuri kama dr slaa LAKINI Mh Lowasa ni kiongozi mzuri zaidi na zaidi,KUMBUKA mwanzoni mwa miaka2006 hadi 2007 kasi aliokuwa nayo mh lowasa ya maendeleo leo tungekuwa wapi,.....? jibu ni mbali sana naamini hata mh rais anajua hilo kuwa mh lowasa ni mchapakazi sana,alikuwa akisimama kuongea watu wote kimya jamaa alikuwa ni mtu wa maamzi maguni binafsi sijaona kama lowasa badooooo!