Ndevu Chafu
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 267
- 32
Hahahahahahahahaaaa............Duh!!!hakuna cha lowasa wala slaa 2015 ni mda wa vijana. Tutamtupia makamba j magogoni nyi angaiken na vikongwe tu
We ni mbumbumbu kichwan. possiblely hata drs la kwanza hujaingia.hizo buku7 za lumumba zina kusumbua
Hahahahahahahahaaaa............Duh!!!
mkishamtupia huyo...mtupieni Le Mutuz uwaziri mkuu kabisa.
ili Mmoja aki twit mwingine ana blog.....kudadeki.
Hivi mnafikiri uongozi ni twitter na blog sio?
Kama hujaona kaulize Bumbuli na Uvccm ndo utajua mda wa wazee kwa heri kitu MAkamba ww!
Chadema imeanza kufa? Kweli nyie mna roho ngumu kama kenge! Subiri uchaguzi ujao wa madiwani. Kama hamtaleta wizi wenu na uvurugaji majibu utayapata bila chenga.Nashitushwa sana na watu wanao amin kua kowasa anaweza kuongoza taifa hili ki ukweli watanzania ni wanafik sana yule mtu sio wa kumpa dhaman ile kubwa tena tumuchae aende chadema ambayo imaenza kufa huko lowasa ndo atapotelea kabisa
Hahahahahahahahaaaa............Duh!!!
mkishamtupia huyo...mtupieni Le Mutuz uwaziri mkuu kabisa.
ili Mmoja aki twit mwingine ana blog.....kudadeki.
Hivi mnafikiri uongozi ni twitter na blog sio?
Kuwagawia Uvccm simu za Samsung alizohongwa na makampuni ya simu ndio qualification ya kugombea kuteuliwa kugombea urais!! Hana vision ya uongozi na ni mtoaji na mpokeaji rushwa kama ilivyodhihilika wakati wa uchaguzi wa ubunge wa Bumbuli 2010 !! Sifa hizi zinamuondolea uhalali wa kuwa kiongozi ccm wa nyumba kumi licha ya nchi!!
Kiukwel nyota ya lowasa iko juu kama kweli atagombea kupitia chama chochote mim binafsi nitampa kura yangu.hamtakaa mkanieleza kitu juu ya lowasa nikawaelewa yuko juu
Mleta mada alikuwa kwenye ndoto, eti the great M4C imsapoti fisadi PAPA Lowassa?