Mamilioni anayogawa Ole Sendeka kwa wabunge kuzima sakata la Hifadhi ya Ngorongoro anayatoa wapi, na kwanini?

naamini huko NCA kuna members of TISS wasema kweli kwa maslahi ya taifa
TISS watasema ukweli. Lakini TISS sio main actors. Main actors ni Wanasiasa na Watendaji wakuu. Na kuna main actors kabisa pale juu. Waziri mwenye dhamana, PM, VP, KMK na P.
Hawa ndio waamuzi wa mwisho. Kujua kama uamuzi wao umezingatia ushauri wa TISS au haukuzungatia ni siri ya walioshauri na wao. Ila sidhani kama vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vitakubali tu kwenda kuwandoa watu kwa nguvu kwa blah blah hizi za Manongi.
Ikumbukwe pia kuna mwaka wanasiasa wazidrag hivi vyombo kwenye operation mfano, operation tokomeza ambapo iliishia kuwaondo mawaziri kadhaa. Nchimbi, Kagasheki na Matayo.
Let Damas be careful.
 
Mlishafanya makosa ya kisera tangu kuanzishwa NCA mnakuja kuguta now,na maamuzi mnayotaka kufanya itawagharimu sana hapo mbeleni...

Tatizo la walioko madarakani wengi ni kama wanapewaga libwata...wanasahau cheo ni dhamana.
 
Mlishafanya makosa ya kisera tangu kuanzishwa NCA mnakuja kuguta now,na maamuzi mnayotaka kufanya itawagharimu sana hapo mbeleni...

Tatizo la walioko madarakani wengi ni kama wanapewaga libwata...wanasahau cheo ni dhamana.
Safi kabisa. Kama ni kukosewa basi ilikosewa toka mwanza. Kwa hiyo Wamaasai wasilaumiwe na wasiwe victimized.
 
Taarifa zinasema Ole Sendeka, Ole Shangai, Ole Ngurumo na wabunge wengine kadhaa wa mikoa ya Arusha, Manyara na Tanga ni wanufaika wakubwa wa kufuga mifugo katika hifadhi hiyo na kwamba wamejipanga kuitumia Semina hiyo kuwarubuni wabunge wafumbe macho.
Tuhuma nzito Sana...hakikisha ni za kweli na sio kuchafuana.
 
Hali isiyokuwa ya kawaida Mbunge OLESENDEKA anagawa fedha kama njugu kwa wabunge lengo kuzima SAKATA linaloendelea kuhusu Hifadhi ya Ngorongoro.

Hatua ya Mhe. Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa kuwataka wabunge kupatiwa semina juu ya Hali inayoendelea Hifadhi ya Ngorongoro imezidi kumchanganya OLESENDEKA maana mara baada ya Semina hiyo ya uelewa itaonyesha ukweli halisi wa kinachoendelea Hifadhi ya Ngorongoro.

Kiwango cha fedha anachogawa ni kuanzia Milioni mbili Hadi Milioni nne ili kuhakikisha matajiri wamiliki wa Mifugo wanaowatumia wamasai masikini kufuga hifadhini Ngorongoro wanafichiwa aibu yao

Taarifa zinasema Ole Sendeka, Ole Shangai, Ole Ngurumo na wabunge wengine kadhaa wa mikoa ya Arusha, Manyara na Tanga ni wanufaika wakubwa wa kufuga mifugo katika hifadhi hiyo na kwamba wamejipanga kuitumia Semina hiyo kuwarubuni wabunge wafumbe macho.

Orodha kamili ya wote waliopokea, wanaotaraji kupokea tutaitaja soon.

Stay Tuned.
Takukuru wamehama nchi au mpaka waambiwe ndio waanze kukimbizana? Au mbunge wa Tanzania yupo juu ya sheria?
Takukuru acheni kufanya kazi kisiasa!
 
Nitasimama na haki ya kikatiba ya uhuru wa kuishi na kuwa na rasimali ardhi kwa watanzania wenzangu wa jamii ya Kimasai.

Hoja kubwa juu ya ngorongoro ni ongezeko la watu na mifugo....zaidi ikinenwa kwamba, mosi, kuna matajiri wako Arusha na Dar wamewekeza ng'ombe kwa wamasai, hivyo Wamasai hawana mifugo bali wanatumikishwa na wageni!

Pili, inadaiwa jamii ya wamasai wamewaalika ndugu zao toka Kenya na ng'ombe zao...hili likihusishwa na nia ovu iliyojificha ktk ujio wa jirani hawa kuwa ni kuharibu kwa jirani ili kwao paendelezwe na kuwa bora zaidi.

Tatu, kuna Maasai oriented NGOs ambazo zinatumika vibaya kuhujumu vyanzo vyetu vya kiuchumi. Inanenwa kuwa enzi za Hayati Magu zilikimbilia kufungua accounts huko kwa jirani na kupitia hizi accounts huenda ndio wanapokea pesa za kufanikisha hujuma zao...hivyo wanakuwa vocal sana kwa sababu ya kuwezeshwa.

Hizi zote ni tuhuma tu, huenda na maneno ya mdomoni yasiyokuwa na ukweli.

Binafsi, nina imani kubwa sana na idara yetu ya UT...wanaweza kuwa na ukweli na wakasaidia kufanya maamuzi yatakayolinda maslahi ya nchi na wananchi wake.

Ikiwa ndugu zetu wamasai watahamishwa....basi serikali haina budi kusacrifice pori tengefu moja na kuwakabithi bila masharti na kupewa stahiki zao bila kupunjwa.

Tujifunze kwa yaliyotokea Mbarali....kama mwataka pembe zang'ombe ziote kwenye makaburi hapo sawa
 
Tuwekee ushahidi sio kutuaminisha habari za kusadikisha.

Tupe habari iliyokamilika na sio kutuletea uzushi

Pia ungetumia nafasi hii kuingia kwenye mawasiliano na #TAKUKURU .....Please
TAKUKURUUU! SI ATAKUWA AMEPELEKA PESA ZA RUSHWA HUKO NAKO. UNAFIKIRI TAASISI HII IKO KAMA JINA LAKE LILIVYO? VERY CORRUPT LIKE HELL!
MTANZANIA MZALENDO KA-TIP JUU YA UOZO FULANI UNAOENDELEA, WEWE UNASEMA ATI, LETA USHAHIDI! USHAHIDI GANI ZAIDI YA KUDOKEZA JUU YA UOZO UNAOFANYIKA. TAKUKURU WAMEIPATA WAINGIE KAZINI. SI NDIYO JUKUMU LAO BWANA! WANA KAZI GANI. MTU KUKUANDIKIA JIBU NI 7, UNATAKA NINI? NCHI HII NYINYI TUENDELEE KUJIFANYA HAMNAZO. TUTAKUJA IANGAMIZA KWA MIKONO YETU WENYEWE; OOHOO!
 
kwa sakata hili la loliondo na ngorongoro si dhani kama kweli ole sendeka anaweza kuwahonga wabunge ………………...mleta uzi sijui anatumia 'cha wapi'
ACHA KUMTISHA ATI OLE SENDEKA HAWEZI KUWAHONGA WABUNGE! KUNA MBUNGE MSAFI NA MWADILIFU NCHI HII?
 
HATUPOTEZI MUDA MUDA MKUU.Nikuulize mkuu hivi ikitokea unaendesha gari ikasimamishwa ukakaguliwa huna kosa na una uhakika huna kosa halafu uombwe ya kupolish viatu je utatoa ?? Kisa tu ccm ndo wenye nchi?????
UTACHAGUA MOJA LILILO NAFUU KWSKO, ... KUTOA YA KUPOLISH AU GARI NA WEWE MWENYEWE KUPELEKWA KITUONI. NCHI HII UNAIELEWA WEWE INAVYOENDESHWA KWA SASA?
 
UTACHAGUA MOJA LILILO NAFUU KWSKO, ... KUTOA YA KUPOLISH AU GARI NA WEWE MWENYEWE KUPELEKWA KITUONI. NCHI HII UNAIELEWA WEWE INAVYOENDESHWA KWA SASA?
Mkuu kama sina kosa nitakwenda nae kituoni ikiwa yeye ndo mhalifu na sio mimi
 
Mkuu hio ni order ya maisha,wote ni wamasai so tusitake kujificha katika swala la haki za wamasai.Kama tunataka kuwatoa Ngorongoro lazima tujue tunawapeleka watu hawa wapi.Huwezi kuwafukuza kama wavamaizi wakati uliwakuta wakiwa wanaishi na wanyama.S
SIYO KWELI WAMAASAI WALIKUWA WAKIISHI NA WANYAMA HAO TANGU KALE SIYO KWELI. WAMAASAI LAZIMA WALIWAKUTA HAPO. NA HAO INAOSADIKIKA WALIKUWA HAPO (1959) NAAMINI HAWAKUWA NA LIFESTYLE INAYOHATARISHA ECOSYSTEM YA NGORONGORO. HAYO MAELFU YA MIFUGO INATOKA WAPI. WATU WANA TAARIFA ZOTE NDUGU. WATU WANA TAARIFA ZA AKINA OLE SENDEKA. UNAFIKIRI KUNA SIRI CHINI YA JUA?
 
Back
Top Bottom