Mamia ya wana CCM Nachingwea wajiunga Chadema

Mamia ya wana CCM Nachingwea wajiunga Chadema

Ni mwanzo tu. Kazi ndiyo kwanza imeanza, tulianza na Mungu, na 2015 tutamaliza na Mungu. Wao pesa za KIFISADI, sisi MUNGU na WATU....KAZI KWELI KWELILLLLLLLLLLIIIIIIIIIIIII................
 
Nadhani chadema inataka wapiga kura sio wanachama. Mwisho hakuna kuangalia kwamba mpiga kura ni mwanancha wa chadema au la.

Wanachama muhimu sana kwa kufanya organisation
 
Back
Top Bottom