Mamia ya wana CCM Nachingwea wajiunga Chadema

Mamia ya wana CCM Nachingwea wajiunga Chadema

ibange

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
1,543
Reaction score
553
Chadema imepokea wanachama wengi Nachingwea wengi wakiwa wanawake katika mkutano wa hadhara. Piga kote kote

Source: Tz Daima ya leo uk 5
 
Chadema imepokea wanachama wengi Nachingwea wengi wakiwa wanawake katika mkutano wa hadhara. Piga kote kote

Source: Tz Daima ya leo uk 5

Yap!

Viva CHADEMA!!

Chama makini kwa Wanainchi wake!
 
Watanzania wa jana si wa leo.....hiyo ndo poples power.
 
Mungu yu pamoja nao wote wenye haki kama alivyoamua kule arumeru,

Namkumbusha Lowasa Asithubutu tena kushindana na Mungu kwa kumzunguka eti kupitia makanisani
 
Na bado watajiunga wengi ila mafisadi big nooooooooooooooo!!!
 
nadhani ccm sasa wachukue chao mapema waondoke nchi si mali yao tena
 
Anayejua kumbi kumbi aifuatilie CHADEMA inaibuka kama kumbi kumbi
 
Nadhani chadema inataka wapiga kura sio wanachama. Mwisho hakuna kuangalia kwamba mpiga kura ni mwanancha wa chadema au la.
 
Mamluki wasipewe nafasi coz Magamba kwa perepereperepeeee hawajambo!
 
Hakyanani!! CCM itakuwa chama cha upinzani kabla ya 2015
 
Back
Top Bottom