mameneja 29 sio mchezo
Tanesco ina mameneja wangapi?
maybe les than 35 sasa ukisimamisha 29 siio kitu rahisi
halafu wasitajwe majina?
Ukikumbuka vizuri Mwalimu katika usemaji wake aliwahi kugusia kuwa "tusipoangalia itafikia sehemu watatufuga kama wanyama pale Serengeti" ...alimaanisha wazungu kutufuga watz ikijumuisha na ccmWananunua umeme Ethiopia? What a shameful nation full of resources but rich of boguses!
She talks too much this lady Badra!