Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,295
- 2,499
Na sisi huku NBC tunasubiri TFF waiweke hadharani hiyo barua ya FIFA inayoihusu Yanga kupokwa points kwenye kila mechi aliyocheza Role Model wa Chama.Na sisi Yanga tunasubiri CAF waseme lile la Aziz Ki lilikua ni goli hivyo sisi tuchukue nafasi ya Simba Sports Club ya SA then tukipige na Al ahly!
Chama hatacheza mechi 3 zinazokuja, kafungiwa. Hii vipi?Na sisi huku NBC tunasubiri TFF waiweke hadharani hiyo barua ya FIFA inayoihusu Yanga kupokwa points kwenye kila mechi aliyocheza Role Model wa Chama.
Yeah, ili point zote mpewe Simba muwe nafasi ya 3.Na sisi huku NBC tunasubiri TFF waiweke hadharani hiyo barua ya FIFA inayoihusu Yanga kupokwa points kwenye kila mechi aliyocheza Role Model wa Chama.
do investigation sio unaongea tu na ujuiAcha upotoshaji, hiyo taarifa ni kwaajili ya chama Cha Michezo sio klabu ya mpira
its more than that check the newsNilichosikia ni kutoruhusiwa kutumia uwanja wao wa nyumbani.
watu wa comment wengi elimu amna vilaza. nilichosema ndo ukweliNisingesoma comment na venye sijui kiingereza nilikuwa nataka ku comment kuwa " hii timu kwaa kubebwa hawajambo"
sheria ipo hivyo. caf wapo strict na doping. caf decision is comingKiingereza lugha ngumu sana. Wapi kwenye hilo tangazo dhidi ya ANAD kumetajwa FIFA Doping rule?
Hivi mleta hii mada umesoma na ukaelewa bandiko lote la WADA?
Mnatapataps sana ,baada ya kucheza mpiraNa sisi huku NBC tunasubiri TFF waiweke hadharani hiyo barua ya FIFA inayoihusu Yanga kupokwa points kwenye kila mechi aliyocheza Role Model wa Chama.
Akili za chooni .... Mnasubiri kamselelekoo...ganda la ndizi? Mtapigwa pipe nyuma Waheed.Na sisi huku NBC tunasubiri TFF waiweke hadharani hiyo barua ya FIFA inayoihusu Yanga kupokwa points kwenye kila mechi aliyocheza Role Model wa Chama.
its more than that check the news