Yaani katika makamanda waioyumie weledi kwenye kazi, huyu no mmoja wao. Si engejibu yu kwa ufuoi kwamva uchunguzi unaendelea? Kwani kuna ugumu gani?Hahaha, povu la nini tena kamanda, your reactions states how weak ÿou are
Halafu jambo la ajabu mkuu, unaweka mfukoni akili yako ambayo iko timamu unategemea akili ya mtu mmoja ambaye naye kwa bahati mabaya ni taahira!! Sijui kama tutafika!!Kufanya kazi awamu hii lazima uweke akili mfukoni.
Mkuu kwahiyo CAG na Dk Philip Mpango wanatofautiana kwenye kiwango cha deni LA taifa ?hayo ya himilivu au siyo himilivu tuachane NATO. Kama hii ni kweli basi yajayo yanafurahisha.Mkuu unashangaa jeshi la polisi kufanya mambo kisiasa tu, hivi hujaona jana CAG kaomba radhi kwa ile taarifa yake? Ukitaka kujua nchi hii kweli kuna vituko. Waziri wa fedha Phillip Mpango akiwa Dodoma wiki chache zilizopita alisema deni la taifa ni 58Tr! Juzi CAG anasema ni 46Tr!! tena huku akitoa na agalizo kabisa la deni la taifa. Maajabu ya karne jana anakuja kuomba msamaha eti alitangaza kwa makosa, hayo aliyoombea jana msamaha ndio ikawa kituko cha ajabu. Kwa hao polisi wala sishangai kwani wameshatumika sana na wanasiasa.
Jeshi la polisi uliwahi kulisikia wapi zaidi ya hapa Tanzania?Askari hawana hatia, kwa kitendo cha kuwachukulia hatua kina mbowe ambao ndio chanzo ndo suala pekee la msingi,, Lazma ifike mahala Jeshi liwe jeshi lazima wananchi wajue Jeshi la polisi ni jeshi, sio taasisi ya Mkonge.