Mambo?

Karibu sana Gwandu, pumzika hapo kwenye kiti mie naenda mtafuta Katavi aje akupatie chochote kitu. Jisikie upo nyumbani G'
 
Naombeni mnipokee tafadhali
kabla kukukaribisha jibu yafuatayo... Jina lako lina maana yoyote?... We una jinsia gani? Maana ktna watu huwa wanatafuta wachumba na wengine huwa wanatafuta wa kuzaa nao... Majibu ndo karibu yako
 
Karibu sana Gwandu, pumzika hapo kwenye kiti mie naenda mtafuta Katavi aje akupatie chochote kitu. Jisikie upo nyumbani G'

Namtafutia kinywaji baridi ili apoze koo kwanza.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…