Mambo vipi jamaa zangu tujiulize sote hivi mtu anapomuadhibu mwingine mtoa adhabu anataraji kuona nini kinatokea katika watu wawili mpewa adhabu naye anataraji nini tuchangie tu maoni heshima haiuzwi napenda wanaojitambua twende kazi
Ok mambo haya ndio chanzo cha matatizo yote tunaona watu wamebadilika kimaadili hali sio nzuri vijana hawaambiliki watu wazima wanachetuka sababu ni hizi za adhabu kama unahoja unaweza kunipinga