Kwani huwa wanasema kwamba wanakwenda kufanyiwa haya, utawasikia 'nakwenda saluni kutengenezwa'. Kumbe mambo yenyewe balaa tupu!Kwa hawa wanawake wa siku hizi wanaopenda starehe. Kila kitu mpaka afinyiwe kuna tabu. Hapo wenyewe wanaona kawaida sana.
Hata mimi sitaruhusu mwanamke wangu afanye hii kitu kabisa. Acha nionekane mshamba tu
Wanawake wenyewe mapepeHawa jamaa sio wa kuwaamini hata chembe na hivi naona thread za wanaume wa Dar na walivyo na maneno kama konda ,mkeo achelewi kuliwa
Sijakuelewa vyema una maana hisia zako ziko around the corner au?Naonaga wanavyofanywa huko tukiwa saluni me siwezi vumilia hayo aisee
Hata me sijajielewa aiseeSijakuelewa vyema una maana hisia zako ziko around the corner au?
"Wenzako wanachunga ng'ombe wewe unachunga mke"utaweza mruhusu shemeji afanyiwe hii kitu?
Mkuu lazima umefadhaika kiungo chako cha uzazi. Pole sanaAisee..!
Inauma mkuu hasa akiwa ndo mtu wako halafu ukute jamaa kashikiliwa namna hii anapewa huduma kama hiyo na kwa pesa zako, aaahh we acha tu, unaweza kurusha ngumi!Wanawake wenyewe mapepe
Waliwe tu........
Aisee sio kwamba najitia ujasiri ila kuna A,B,C zangu anazojua sipendi na kuna A,B,C zake nazojua hapendi ...sasa wewe legalega halafu siku ya siku aje kusuguliwa hapo kwenye kitanda chako mnacholala wawiliUsijitie ujasiri sana mkuu, unaweza kuduwazwa
Hahahaaa haya bana, nipe hayo majukumu nitakuwa mwaminifuHata me sijajielewa aisee
Kila la heri mkuu kwenye hizo A,B,C zitimie kama utakavyoAisee sio kwamba najitia ujasiri ila kuna A,B,C zangu anazojua sipendi na kuna A,B,C zake nazojua hapendi ...sasa wewe legalega halafu siku ya siku aje kusuguliwa hapo kwenye kitanda chako mnacholala wawili
Dalili za kufanywa mapenzi kwa nguvuHahahaaa haya bana, nipe hayo majukumu nitakuwa mwaminifu
Mkuu we acha tu!Hata aibu hawa kabisa aisee
Mi nishawahi mpa mtu kipondo kisa nomemkuta kashika wowowo la demu angu......Inauma mkuu hasa akiwa ndo mtu wako halafu ukute jamaa kashikiliwa namna hii anapewa huduma kama hiyo na kwa pesa zako, aaahh we acha tu, unaweza kurusha ngumi!
Wengine watata..Kuna watu wanawachora mademu tattoo kwenye papuchi ila still hawaambulii kitu tehHahahaha hapo mtoto anaitawanya mwenyewe wala hupati tabu