Mambo yenyewe ndo haya!

Ndo ilivyo hivyo. Nenda pale mwenge utaona vingi sana. Hii yataka moyo sana. Hebu niambie mazingira kama hayo aisee
ila unajua nn mkuu..wale madada huwa wanafanya makusudi kukaa vile kwasabu wanajua kuna baadhi ya watu wenye vipesa vyo wakipita na kuona vile wanawataman na kuanza kuwa track...ukahaba uko wa design nying sana town hapa
 
Kinachoumiza kuhusu hii picha utakuta mumewe au boyfriend alizungushwa mwezi mzima kuyashika tu hayo mapaja

huku kijana wa saloon anayachezea wee na kulipwa hela ....kirahisi tu
Umeongea ukweli mtupu kaka mkubwa The Boss huyo jamaa anayashika anavyotaka yeye

Wakati mhusika bado anazungushwa hata kiss LA shavu
 
Hii ni hatari sana! Inabidi kuwa makini na wanawake wetu otherwise ni kilio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…