Mambo yenyewe ndo haya!

Unafikiri. Hebu pata picha unasugua huo mguu paja laini halafu hiyo nguo wanavyotaka sifa wanazidi kuipandishi ili isilowe
mimi hii kazi hainifai kabisa kwani nna tamaa sana..so huwa najiepusha mapemaa na nikiona tu sehem flan kuna mazingra ua vishawishi ckatiz kabnisa....kwasabu mkuu hayo ni mambo gan km kweli mtu n rijali?afu unajua pale wanaposuguliwa hio miguu yao nao wanajickia raha nahic watakua wanatekenyeka mpaka kule pentagon
 
Ndo ilivyo hivyo. Nenda pale mwenge utaona vingi sana. Hii yataka moyo sana. Hebu niambie mazingira kama hayo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…