Mambo yatakayoing'oa CCM madarakani October 2015

Mambo yatakayoing'oa CCM madarakani October 2015

Last but not least... Kuyaachia majoka yenye makengeza kutuandikia rasimu ya katiba
 
Jambo jingine huwenda ni wananchi kukichoka cm kutokana na kuwepo madarakani kwa miaka mingi
 
ommy malori mbona ninyi ndio mnaoyatumia sana. hizo pesa tunazowapa bila shaka unatupatia wewe
Mnakusanya watu kwa fisi ndo mnapokelewa? Kuwanunua watu kusomba na malor ndo mnakubalika?
Wabunge wa ccm kuwaandaa wakinamama wa ccm kuwapa pesa kisha wajifanye wanawaunga Mbunge mkono ili agombee ubunge? Kumbe ni futuh tupu, Kawadanganye Mambulula wenzako wa ukoo wako si Watanzania wanajua machungu kwa nchi hii, mnalala Bungen tu kila kitu Ndioooooooo kibaya Ndiyooooo, pesa zikiombwa huku kwa mjomba mnajisifia na kupigiana makofi hamjui mtazirejeshaje,
Kama unatakwimu vzr angalia Deni la Taifa limefika kias gan? Kila Mtanzania anadaiwa zaid ya 700000 halafu achague ccm tena deni liongezeke atakuwa kalongwa..
 
. inawabidi mjipange haswa kwani ajenda hizo ulizotaja wananchi wameelewa ukweli kwamba serikali sio fisadi bali mtu mmojammoja ndio fisadi, rasimu wameisoma na kuielewa na wataipigia kura ya ndiyo, mahakama ya kadhi waislamu wameeleweshwa namna mchakato ulivyo na wameelewa. mimi nadhani tusiandikie mate wakati wino ni oktoba 2015. tusubiri tutajua mbivu na mbichi
Haya ni maneno ya kasuku, ana-tape na kurudia kusema maneno aliyosema mwingine bila kutumia akiri yake. kama serkali na ccm haikufisadi mahakama na magereza yangejaa wafungwa wa rushwa na wizi wa mali za umma. Na kwa kuwa ccm na serkali yake ni fisadi ndiyo maana kila kukichwa watuhumiwa wa ufisadi wanasafishwa. Kwa sababu hakuna hata mmoja ndani ya ccm ambaye anaweza kunyoshea kidole mwenzie. Na hili ndilo kubwa litaing'oa ccm mwezi october
 
najua uko usingizini saa hizi..ngoja uamke ndio tunaweza kulumbana..maana hata hoja ulizotoa hazina mashiko

Back
Top Bottom