Mkuu hizi zote ni kazi za chadema usihamishe ukweli kabisa.21)mauwaji ya albino
22)kuteka na kutesa
23)kushinda kulindwa maliasili zetu
Imefanya nini hiyo miiko ya viongozi?Miiko ya viongozi
Kuteuliwa na kushika nyadhifa viongozi wasiokubalika katika jamii
Kuteuliwa na kushika nyadhifa viongozi wasiokubalika katika jamii
Imefanya nini hiyo miiko ya viongozi?
Mambo mengine mnapotoshana sana na hawa wezako lakini mda siyo mrefu kazi itaanza hapo ndiyo tutajua mbichi na mbivu.
Miiko ya viongozi
emmanuel haya ni mawazo yako ila kwa taarifa yako na kwa kuwa husomi magazeti ningekushauri uanze kusoma uangalie jinsi wabunge wa ccm wanavyopokelewa majimboni na kuchangiwa fedha za kugombea tena. ninyi mnazunguka na chopa mnakusanya watu wanaoshangaa chopa mnajiaminisha kuwa mtaing'oa ccm madarakani. inawabidi mjipange haswa kwani ajenda hizo ulizotaja wananchi wameelewa ukweli kwamba serikali sio fisadi bali mtu mmojammoja ndio fisadi, rasimu wameisoma na kuielewa na wataipigia kura ya ndiyo, mahakama ya kadhi waislamu wameeleweshwa namna mchakato ulivyo na wameelewa. mimi nadhani tusiandikie mate wakati wino ni oktoba 2015. tusubiri tutajua mbivu na mbichi
Mkuu hizi zote ni kazi za chadema usihamishe ukweli kabisa.

Mkuu Malipula, kwa taarifa yako, ccm inawapiga kura mijini na si vojijini. Vijijini watu wanaumia zaidi na wamechoka sana lakini pia ulimwengu wa sasa ni wa sayansi hivyo taarifa zote ziko kiganjani mwa mwana kijiji.wapigaji kura wengi wapo vijijini na bado wanaipenda CCM
umeongea ukweli
(21)Kung'oa watu kucha na meno bila ganz,
(22) kuwaambia watanzania wasiotaka kulipa bili ya umeme mpya watumie vibatar,
(23) Asiyetaka kulipa nauli mpya ya kivuko apige mbizi,
(24) watanzania wapigwe tu hatuna jins maana tumechoka,
(25) nimetochoka na nchi hii nataman mda wangu wa Urais uishe nikachunge mbuz chalinze n.k
Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini CCM imekuwa ikikabiliana na changamoto kali kutoka vyama pinzania wakati wa chaguzi isipokuwa uchaguzi wa uliomweka madarakani Mh. Dr. Jakaya Kikwete mwaka 2005 ambao angalau ulikuwa na unafuu. Watanzania wamekuwa wakilalamikia baadhi ya mambo ambayo wanadhani yalihitaji marekebisho kutoka chama tawala. Wamekipa muda wa kutosha chama tawala ingawa ni kama vile sikio la kufa huwa halisikii dawa. Mambo yale yale yaliyolalamikiwa na kupigiwa kelele yameendelea kufanyika ndani ya serikali ya chama tawala.
BAADHI YA MAMBO YATAKAYOING'OA CCM MADARAKANI 2015
- Makundi yaliyojenga uadui na uhasama ndani ya chama.
- Ufisadi uliokithiri. Hii haihitaji tafsiri.
- Rushwa iliyopindukia.
- Kukosekana kwa huduma za jamii za lazima kwa wananchi. Mfano; Elimu duni, huduma za afya, nishati ya umeme na maji, nk.
- Ukosefu wa ajira kwa vijana wengi.
- Mahakama ya kadhi. Hiki ni kisu chenye makali kuwili. Upande mmoja kuna wakristu na upande wa pili waislamu. Walioingiza jambo hili kwenye ilani ya ccm hawakuwa wanaona mbali.
- Migogoro ya wakulima na wafugaji.
- Kutupwa kwa rasimu ya katiba ya jaji Joseph Sinde Waryoba ambayo ndiyo maoni ya wananchi.
- Dai la jeshi la polisi kutumia nguvu kupita kiasi dhidi ya raia. Dai hili linaambatana na wananchi kubamkikiziwa kesi za uongo.
- Dai la udhaifu wa wengi wa wabunge wa ccm kutokusimamia mambo muhumu yenye maslahi ya taifa bungeni badala yake wengi wao wamekuwa watu wa ndiyoooooooooooooo!
- Kupuuzwa kwa madai ya maslahi ya wafanyakazi wa umma.
- Muungano wa ukawa ambao ni zao la kupuuzwa kwa rasimu ya katiba ya jaji J.S.Waryoba
- Kupitishwa kwa sheria ya makosa ya mtandao???????
- ​Migogoro ya ardhi
- Mengine ongezea