Mambo yatakayoing'oa CCM madarakani October 2015

Mambo yatakayoing'oa CCM madarakani October 2015

emmanuel haya ni mawazo yako ila kwa taarifa yako na kwa kuwa husomi magazeti ningekushauri uanze kusoma uangalie jinsi wabunge wa ccm wanavyopokelewa majimboni na kuchangiwa fedha za kugombea tena. ninyi mnazunguka na chopa mnakusanya watu wanaoshangaa chopa mnajiaminisha kuwa mtaing'oa ccm madarakani. inawabidi mjipange haswa kwani ajenda hizo ulizotaja wananchi wameelewa ukweli kwamba serikali sio fisadi bali mtu mmojammoja ndio fisadi, rasimu wameisoma na kuielewa na wataipigia kura ya ndiyo, mahakama ya kadhi waislamu wameeleweshwa namna mchakato ulivyo na wameelewa. mimi nadhani tusiandikie mate wakati wino ni oktoba 2015. tusubiri tutajua mbivu na mbichi

You are day dreaming my friend...........ruling party and its government is rotten to the core and wananchi are sick and tired because they are poorer than they were 10 and so years ago
 
CCM haiondoki mwaka huu,wala mwaka kesho.Siku zote inajua namna ya kulinda au kushikilia tonge lilio mdomoni.Itaondoka tu madarakani iwapo kiongozi mkuu wa kaya kwa mapenzi yake au utashi wake mwenyewe ataamua kufanya mabadiriko ya sera za utawala,Kama Gorbarchov wa Soviet.
 
emmanuel haya ni mawazo yako ila kwa taarifa yako na kwa kuwa husomi magazeti ningekushauri uanze kusoma uangalie jinsi wabunge wa ccm wanavyopokelewa majimboni na kuchangiwa fedha za kugombea tena. Ninyi mnazunguka na chopa mnakusanya watu wanaoshangaa chopa mnajiaminisha kuwa mtaing'oa ccm madarakani. Inawabidi mjipange haswa kwani ajenda hizo ulizotaja wananchi wameelewa ukweli kwamba serikali sio fisadi bali mtu mmojammoja ndio fisadi, rasimu wameisoma na kuielewa na wataipigia kura ya ndiyo, mahakama ya kadhi waislamu wameeleweshwa namna mchakato ulivyo na wameelewa. Mimi nadhani tusiandikie mate wakati wino ni oktoba 2015. Tusubiri tutajua mbivu na mbichi

mkuu mimi natokea sehemu za pwani, mbona hali ni mbaya kwa ccm? Wewe unaongelea wapi?. Ukifika rufiji ambapo kuna wabunge wawili hali ni tete. Kila wiki muheshimiwa mmoja waziri anaenda huko kuweka mambo sawa, wamechoka wananchi wa pwani, vituo vya ccm vingi vimefungwa.
 
Deni la taifa sasa ni zaidi ya Mara 9 ya wakati Mkuu wa kaya anaingia 2005
 
emmanuel haya ni mawazo yako ila kwa taarifa yako na kwa kuwa husomi magazeti ningekushauri uanze kusoma uangalie jinsi wabunge wa ccm wanavyopokelewa majimboni na kuchangiwa fedha za kugombea tena. ninyi mnazunguka na chopa mnakusanya watu wanaoshangaa chopa mnajiaminisha kuwa mtaing'oa ccm madarakani. inawabidi mjipange haswa kwani ajenda hizo ulizotaja wananchi wameelewa ukweli kwamba serikali sio fisadi bali mtu mmojammoja ndio fisadi, rasimu wameisoma na kuielewa na wataipigia kura ya ndiyo, mahakama ya kadhi waislamu wameeleweshwa namna mchakato ulivyo na wameelewa. mimi nadhani tusiandikie mate wakati wino ni oktoba 2015. tusubiri tutajua mbivu na mbichi

mkuu hiyo ndiyo shida yenu...kukataa ukweli! anyway naheshimu mawazo yako
 
Mkuu Freedom Tomorrow! kumbe kinaweza andikwa kitabu cha sababu zitakazo fanya ccm ing'olewe madarakani 2015 ikiwa wapinzani/ UKAWA watacheza karata vizuri?

Topic nzuri, kwa waandishi wa makala au Ndg POLEPOLE, mnaweza tuandikia kwa kina ili watanzania wasome wafunguke macho
 
CCM haiondoki mwaka huu,wala mwaka kesho.Siku zote inajua namna ya kulinda au kushikilia tonge lilio mdomoni.Itaondoka tu madarakani iwapo kiongozi mkuu wa kaya kwa mapenzi yake au utashi wake mwenyewe ataamua kufanya mabadiriko ya sera za utawala,Kama Gorbarchov wa Soviet.

mkuu! hiyo unayoisema inawezekana pale tu ambako wananchi hawajachoka. ccm ilikuwa na muda wa kufanya marekebisho lakini haikuona umuhimu kwa kujiamini kama unavyosema.
 
Mambo mengine mnapotoshana sana na hawa wezako lakini mda siyo mrefu kazi itaanza hapo ndiyo tutajua mbichi na mbivu.
 
Back
Top Bottom