Wamekufa watu 32 juzi ,leo tena nimesikia madogo wawili wa chuo wa kike wamekufa kwa ajali ..Hapa kitaa kuna mwingine ni boda naye kafariki jana ..Kifo ni kawaida kijana
Hiyo ndiyo sera ya chama ,maana hata Mtei naye kalamba vumbi , mwingine kapigwa bastola na mumewe ..Yaani chama kina utoto wa kushangilia kifo.