Mambo yanayoudhi humu jamvini

umeona eeh
yaani utafikiri kuku aliekatwa kichwa
mtu anaongea upupu mpaka unatamani kuvunja pc
ya ofisi
unakuta taarifaya ya kusikitisha ila wanaleta mzaha
na kama unagonga kestolait
lazma upigwe ban maana majitu mengine
hayavumiliki?

pembeni ya mada umebadili tena avatar
lool sasa hii ni picha yako au ?
 
Hiyo avatar mbona ina kama wiki,sio mimi,siwezi kulia machozi mi mgumu
 
Nakelwa na mtu anaanzisha sredi halafu anasema rafiki yangu anaomba ushauri au mara dada yangu anatafuta mchumba or mara rafiki yangu uume unatoa damu,kwani wakisema ni wao kuna tatizo gani;;Wananiboa sana
 
aaah bhana mi nakuwaga via china mobile ndo maana sijakuona
unajuaga kuzichagua ......
zote ziko pouwa.saaasa kwanini umepnda ya anaelia?

hizo mada huwa zinawahusu wao,ila kusema direct ni soo
 
aaah bhana mi nakuwaga via china mobile ndo maana sijakuona
unajuaga kuzichagua ......
zote ziko pouwa.saaasa kwanini umepnda ya anaelia?
siku hizi ukiweka post kwa chini wanaandika via,blackberry,via iphone,angalia wasije wakasema
via kwa jirani
 
Yote ulosema ni kweli excellent.Hakuna uvumilivu wa mawazo humu jamvini. Wanajf ni wasomi wa hali ya juu kwanini uvumilivu unawashinda?
 
Kuna watu hawajui jinsi ya kutofautiana na na wenzao bila kuwa attack.
 
Wengi sio wastaarabu na uswahili uswahili mwingi.
Ila wapo wastaarabu ambao ni wachache mf AshaDii na RR ,mtu anaongea unaona huyu mtu
anajua nini maana ya utu kabla ya yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…