Mambo yanayoudhi humu jamvini

Sijazoea kwasababu sijapata mtu wa kunifanyia hivyo.
Nwy, ukishamuattack unadhani utapata nafuu?

ona sasa sijui na wewe hapa umeandika nini!huju kuwa hilo (coloured) ni kati ya yale yanayoudhi humu ndani!!
 
PUNGUZA JAZBA MKUU...anachoamini mwenzako, hulazimishwi na wewe ukikubali.
 
naudhika saana pale napoona mtu anaaandika maneno ya hovyohovyo wakati
unakuta jambo ni serious kama ajali na mambo kama hayo
na wale wanaopenda kuanzisha sred za hovyohovyo za uongo
na wanaozushia wenzao vifo .wanaidhalilisha jf
natamani ningekuwa mod nifutilie kwa mbali mauongo yao
na ban juu kwwa kuanzisha upupu aghrrrrrrr
 
Kuna mamluki wamelipwa, wanataka kuigeuza JF kuwa genge la kihuni. Kumbukeni kwamba JF imeshatoa mchango mkubwa sana kwa jamii kwa kuibua kashfa nyingi ambazo zimetikisa anga nyingi za nchi hii. Mfano ni Richmond. Ilianzia HAPA! Tuweni macho na hawa wahuni! Wamelipwa na mafisadi!
 
unakuta taarifaya ya kusikitisha ila wanaleta mzaha
 
mkuu kama wapo watakuja tu kukata tamaa
 
Nilitaraji kuwa uko kwenye kundi hilo; Ukishakuwa mzazi utaomba Mungu akusamehe kwa kutoa kauli kama hizi!

Nakutakia kila la kheri!
dah mkuu ina maana ukiwa mzazi hayo ni mambo ya kila siku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…