Mambo yanayotofautisha wanaccm na ukawa

Mambo yanayotofautisha wanaccm na ukawa

VIVIANET

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2015
Posts
2,129
Reaction score
2,920

1.wanaccm ni waongo-ukawa wanapenda ukweli

2-ccm wanaeneza chuki na fitina-ukawa wanatangaza amani

3-ccm ni wazushi-ukawa wana tafiti mambo

4-ccm wana propaganda za uongo-ukawa wanajenga hoja

5-ccm wanatumia nguvu-ukawa wanashawishi

6-ccm wanatumia fiesta kuwavuta watu-ukwa wanapendwa na watu

unaweza kuongeza mengine
 
Baada ya ukawa kuchukua nchi, wasafishe na kutengeneza system ya ushindani..kila mtu ale kwa jasho lake, hii tabia ya ccm walioiweka kwamba ukijipendekeza kwa viongozi unapata cheo au kula waiondoe..inafanya baadhi ya vijana kuwa vilaza, wazembe na wanafki..angalieni vijana wa ccm hapa jf
 
Tukubali ukweli kuwa momentum ya upinzani imepungua baada ya kukaribisha makapi kuongoza jahazi..ile ilikuwa ni gross miscalculations!!
Eti leo tumefikia stage kuwa Upinzani wanapata kigugumizi kutamka neno "fisadi"! Ni dhahiri kuwa 4U Movement wamechukua uskani na kuweka M4C kiti cha abiria. Na hii itaendelea hata ikitokea chadema imeshinda...tutarudi kulekule.
Nawasihi mfanye maamuzi sahihi
 
Nani siyo makapi wote ni makapi kwamtindo huo unao fikiri dk alihamia cdm baada ya kutemwa kura za maoni karatu miaka hiyo acha hizo hakuna mjinga hatudanganyiki
 
Tukubali ukweli kuwa momentum ya upinzani imepungua baada ya kukaribisha makapi kuongoza jahazi..ile ilikuwa ni gross miscalculations!!
Eti leo tumefikia stage kuwa Upinzani wanapata kigugumizi kutamka neno "fisadi"! Ni dhahiri kuwa 4U Movement wamechukua uskani na kuweka M4C kiti cha abiria. Na hii itaendelea hata ikitokea chadema imeshinda...tutarudi kulekule.
Nawasihi mfanye maamuzi sahihi

Fisadi mko nae huko huko na familia yake
 
Back
Top Bottom