Mambo yanayoshusha thamani ya mwanaume mbele ya mwanamke

Mambo yanayoshusha thamani ya mwanaume mbele ya mwanamke

Ni kweli aisee, kuna wanawake usipowadanganya wanaona huwapendi na hauna maneno matamu matamu
Hakuna namna. Ila uwe na kipimo maana ukizidi ni tatizo.

Kingine wenyewe wanapenda kudanganywa. Maneno matamu tu
 
Uongo lazima kiasi....maanau ukweli wote naosemaga sisifiwi kwa kuwa mkweli bali hinicost....ila uongo nakuwa shujaaa .....hata akija jua anakuta too late.....
 
Mungu amezuia ngono kabla ya ndoa, hivyo majadiliano haya ni batili vinginevyo, ushauri huu unatolewa kwa wanandoa
 
Yote hayo uliomention hapo juu ex wangu alikua nayo,niliamua kuachana nae nikiangalia hanisaidii chochote zaidi ya kunipa strec
 
No 2 na No 3 zimenifanya nimuone jamaa yangu wa kawaida saanaa yani hana jipya hata akiongea jambo najua tu anaongopa yani anatia kinyaa kwa kweli.
 
HAYO HAYO HUSHUSHA THAMANI YA MWANAMKE MBELE YA MWANAMME
 
hilo namba 3 hapo.

Mapenzi bila uongo hayaendi....
sio kweli ... binafsi ninavyochukia uongo siamini kwamba mapenzi yanaendana na uongo. Labda kwa watoto ...

ila hapa tutofautishe kuchepuka na mapenzi ya kweli .. mchepuko ndo unahitaji kudanganywa lakini My Dear Wife nimdanganye ili iweje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom