Mambo yanayonikasirisha Kanisani

I second
 
Wabinafsi sana
 
Bora wewe, mimi kinachoniuzi ni kutopata nafasi/kutoruhusiwa kumuuliza maswali/ kumkosoa padri juu ya anacho hubiri.
Jiunge na wakatekutumeni au omba kuonana na padri baada ya misa umuulize maswali.
Hakuna kanisa lolote la Kikristo/Uislamu wakati wa mahubiri maswali yanaulizwa.
Maswali uulizwa wakati wa mihadhara
 
Ni ajabu kuchoka ibada. Toka huko katoliki ambako kuna akili akili tu, hakuna Roho Mtakatifu humo. Amua kuokoka, umwabudu Mungu katika Roho na kweli, kamwe hautoboreka. "Waabuduo halisi watamwabudu Mungu katika roho na kweli, na Mungu anawatafuta watu kama hao" YOHANA 4:

JESUS IS SAVIOR
 
Kuhama hama dini ni umalaya wa kiimani. Yesu wa katoioki ni huyo huyo wa kirutheri au pentecoste
 
Kuhama hama dini ni umalaya wa kiimani. Yesu wa katoioki ni huyo huyo wa kirutheri au pentecoste
Wewe hujihurumii kuichoka ibada. Ibadani ni sehemu tunakopata ushirika na Mungu wetu, sio sehemu ya kuchosha. Hata sisi tulikuwa huko uliko tukapata neema ya kuzaliwa mara ya pili. Acha kung"ang"ania dini, njoo kwa Yesu akuokoe!


JESUS IS LORD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…