MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,597
- 39,374
- Thread starter
-
- #81
kunapokua na ratiba lazima ifuatwe. Vinginevyo wasiweke ratiba hakuna atakayepigia kelele muda.Sioni bado mantiki ya muumini wa imani yoyote kukaza shingo kutaka Ibada izingatie muda!
Kiumbe binadamu Mungu amekuzawadia zawadi ya pumzi siku 6 bila kukutoza chochote na halijakupata lolote baya lakini unashindwa kukaa mahali pamoja palipoamuliwa kumuabudu na kumsifu kwa angalao masaa matano?
Wengine wanalalamika sadaka (sitazungumzia nje ya Kanisa Catholic) ila naamini utoaji na matumizi ktk Kanisa yapo wazi sana,mfano;inatangazwa mchango wa pili ni kwa ajili ya maendelo ya Kanisa,haitegemewi leo majengo ya Kanisa yamepata hitilafu ya umeme wasubiri mpaka waumini washtuliwe ktk Ibada kwamba kuna mchango wa kuchangia marekebisho ya wiring au mfumo wa maji!
Ajabu wengi wanaolalamika wana watoto wawili+ wanasomesha shule za 1.5ml per kichwa,wakiwa watatu ni 4.5mil huyu ni muumini anapiga magoti kumuomba Mungu ampe mwanae akili lakini muumini huyu huyu anashindwa kutoa sadaka 10K kwa ajili ya maendelo ya pale anapopigia magoti Mungu amsikie mwisho mtoto akifeli anaona Mungu wa Catholic hana jipya anaenda kulipa 100,000/= kumuona kuhani Musa Mbezi amuombee kwa Mungu wake.
Mimi nasema sitaona aibu au yeyote asijisikie hatia kutoa sadaka as long as nilipotoa mara ya kwanza sikufilisika na nitatoa kadiri kipato kinavyoongezeka Imani siyo kubembelezana
Hawajaweka ratiba hakuna cha kulaumuKuna makanis ya wenzetu yale kiroho wanakaa masaa zaidi ya kumi na wengine wanalala hukohuko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sa wew only 3 hours unalalamika[emoji2218][emoji2218]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wachoyo sana..yani divai wanaigida yote peke yao..hawana huruma na waumini...ubinafsi umewajaa.Jumapili amka mchane adharani. Tena aache uchoyo[emoji1]
Mkuu unakaza shingo tu kwa sababu ya kiburi na uzima ulio nao sasa,amini hivyo.Kimsingi ratiba lazima iheshimiwe. Dunia imebadilika
mtaguso ndiyo unaruhusu kuvunjwa ratiba za ibadà, wanakwanya kuimba manyimbo yasiyo na swagger na michango holela?Nop, kuna kitu inaitwa Mtaguso, taratibu huwa zinabadirika baadhi, usiooohudhuria misa kwa muda mrefu utakereka tu na mabadliko hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono 100%. Mfano Kwaya nyingi zina kigagasi (egocentrism) mara nyingi huwa wanaambiwa na kuonywa waimbe zile nyimbo zinazofahamika na wengi na kama ni lazima basi wimbo mpya uwe ni 1 au 2 tu na wimbo huo urudiwe-rudiwe mara nyingi kadri iwezekanavyo ili na waumini wengine waujue.Mtaguso, sinodi na blah blah nyingine hazihitajiki kusuluhisha matatizo tajwa kwenye uzi. Kwaya ziimbe nyimbo zinazojulikana au watoe vitabu vya nyimbo kama kwenye english services, ili waumini washiriki. Matangazo yawe machache mengine kwenye ubao wa matangazo, mahubiri mafupi max 10min, ratiba zifuatwe. Hii siyo rocket science.
Mimi nina mwaka wa 4 sasa sijakanyaga kanisani.Mi nimeachana na kwenda kanisani na nina amani utafikili nimetolewa mashetani kichwani
Ila nachofahamu kipindi hiki cha kwaresma hizi kwaya hazihita swaga wala any kind of mbwembwe[emoji2956][emoji2956]mtaguso ndiyo unaruhusu kuvunjwa ratiba za ibadà, wanakwanya kuimba manyimbo yasiyo na swagger na michango holela?
Na hili ni tatizo kubwa. Kwenye English Services kuna vitabu, utafuatilia nyimbo na kuimba na kushiriki ibada. Huku uswahilini wanajiimbia tu manyimbo yenyewe mabaya hayana ata ladhaNaunga mkono 100%. Mfano Kwaya nyingi zina kigagasi (egocentrism) mara nyingi huwa wanaambiwa na kuonywa waimbe zile nyimbo zinazofahamika na wengi na kama ni lazima basi wimbo mpya uwe ni 1 au 2 tu na wimbo huo urudiwe-rudiwe mara nyingi kadri iwezekanavyo ili na waumini wengine waujue. Lakini wapi!! hawaambiliki.... Wata-surf kwenye Swahili music notes na kukusanya nyimbo mpya huko na kuziimba bila kujali kwamba wao wanachangia tu kukoleza Ibada ili washiriki waweze kushiriki kikamilifu(Active participation) na kwamba pale sio mahali/jukwaa la maonesho au mbwembwe. Aidha nyimbo nyingine haziko kama ni sala na hivyo zinapigwa marufuku.
Uwezekano wa kutokea ni mkubwa sana kwani mchakato wa kuleta mabadiliko ndani ya kanisa Katoliki umeshaanza ngazi za chini (Grassroot level) kwa kusambaza questionnaire (dodoso) litakalojazwa na waumini wake wote na wale wasio waamini wa kanisa hilo.I think hii ni kutokana na kasi ya mabadiliko ya dunia, well kama ikitokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini zimejengwa kwenye kutisha waumini wake ili waipate adhabu huko rohoni siku ya kufa..uzuri ni kwamba yote mazuri na mabaya huwapata wanao sali nawasio sali..hata maandiko yameweka wazi kuwa Mungu huwanyeshea mvua waovu na wasio waovu.Mkuu unakaza shingo tu kwa sababu ya kiburi na uzima ulio nao sasa,amini hivyo.
Mwaka 2020 may nilimshuhudia rafiki yangu akiwa ktk kitanda cha mauti pale Muhimbili alikuwa analia anamuahidi Mungu kwamba akichomoka ktk lililomsibu atamuabudu kwa namna isivyoelezeka na huyu alikuwa busy kweli na mambo ya dunia!
Kama wewe daktar au nurse au polisi unao uwezo wa ku-argue hivi but unatoka kanisani unaenda kunywa supu bar kisha unataka Ibada izingatie muda wako no bro hivi hatutafika tunapopiga magoti tufike.
Niamini mkuu!
Huku unalalamika misa inachukua muda mrefu at the same time unataka upate nafasi ya kuuliza. Hivi wakiruhusu maswali Misa utachukua masaa mangapiMaswali mengne huwa yanatokana na kile kilicho hubiriwa. Sasa hapo nimeona upotoshaji kwenye mahubiri ya jumapili nikae nisubiri hadi ijumaa?
Unadhani muda wa kuuliza maswali utakuwepo?Hili lazima lifanyiwe kazi, mapadre waache ubabaishaji, wajiandae na watoe nondo zenye akili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ooohJamaa wachoyo sana..yani divai wanaigida yote peke yao..hawana huruma na waumini...ubinafsi umewajaa.
#MaendeleoHayanaChama
Chamsingi umeshajua mema na mabaya..inatosha sana kuishi na walimwengu.Mimi nina mwaka wa 4 sasa sijakanyaga kanisani.
maswali matatu ya msingi hayawezi kuumiza mudaHuku unalalamika misa inachukua muda mrefu at the same time unataka upate nafasi ya kuuliza. Hivi wakiruhusu maswali Misa utachukua masaa mangapi
Hawawasomi(they don't Study) wasikilizaji wa nyimbo zao na kutaka kujua reaction yao kwa nyimbo wanazoimba.Na hili ni tatizo kubwa. Kwenye English Services kuna vitabu, utafuatilia nyimbo na kuimba na kushiriki ibada. Huku uswahilini wanajiimbia tu manyimbo yenyewe mabaya hayana ata ladha
Maswali matatu ya msingi hayawezi kuumiza mudaUnadhani muda wa kuuliza maswali utakuwepo?
kunapokua na ratiba lazima ifuatwe. Vinginevyo wasiweke ratiba hakuna atakayepigia kelele muda. Kama wewe unaweka rules mwenyewe alafu hauzifuati utapata wapi uwezo wa kuniambia mimi nishike amri zako au za Mungu?
Haaa matatu tena?[emoji2][emoji2] Na majibu yakiwa marefu hutaridhika mkuu ten ukute padre ana mwak mmoj tangu apadrishwe[emoji2956][emoji2956][emoji2956]maswali matatu ya msingi hayawezi kuumiza muda